Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Lucas mwashambwa kubwa Zima lkn Hana mpango. Utadhani mwijaku Fulani lkn huyu amefulia mbaya. anakwenda bar Hana hata Mia anasubiri anunuliwe safari ya Moto ndio aanze kumsifia aliyemnunulia pombe.
ChoiceVariable msomi aliyemaliza form six shule ya kata, muda mwingi utamkuta kwenye ofisi za CCM anacheza draft na wazee wa CCM.
Bongotunacheza anapenda Sana pombe za kienyeji na wadada wanaouza pombe vilabuni, lkn pia anapenda Sana kukaa vijiweni na wastaafu wakiongelea siasa za CCM na kuona CCM Wana bonge la Sera.
Tafuta kazi ya kufanya,uchawi Huwa unaanzaga hivi hivi kisa roho mbaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom