Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Mimi sio mgomvi hata kidogo. Siwezi kuongea sana maana nitapandwa na hasira nikutangwe na kitu chochote ufe😂
Jidanganye. Wengine wanasoma nyakati kabla hujanyanyua kitu hicho,utavutwa filimbi za masai ubaki unalia tu
 
Huu uzi nawaachia hapa kuna wangese watakuja wataanza kunireport me, kwaherini [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sio mgomvi hata kidogo. Siwezi kuongea sana maana nitapandwa na hasira nikutangwe na kitu chochote ufe😂
JF utamtwangaje mtu! Si burudani tuu! Au kuna wengine chuki zao wanakuwa wanamaanisha kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23] weekend hii hasira za nn??

Dogo ana hasira za karibu sana[emoji23]
Anaogopa kukuvunjia heshima bro ake
Huoni nimemwambia acha kakuacha
Acha kunigombanisha na shemeji yangu, nitakosa mtetezi siku ukizingua 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom