Tag umpendaye humu JamiiForums na umtakie usiku mwema

lara 1
I love her,
Sijui ameibwa na nani?
 
Thanks dear😍nawe pia uote ufidodido..πŸ˜›.
Ni vile tu napenda hulka yako,umbo lako na hata ukorofi wako wakichokozi..πŸ˜‰
Namshukuru fundi stadi aliekufinyanga kwa udongo maridhawa!,kazi yake yakutukuka ameionyesha kupitia wewe! Palipo stahili kubonyea alipobonyeza kiufundi stadi na hata palipostahili kutuna pamekutuna inavyostahili..!

Usiku huu wa leo pumzi yako itakuwa yangu na pigo lako la moyo litakuwa langu laaziz..πŸ˜‰
Tutakesha tukitekenyana kimahaba mixer kupeana kile cha uhondo..πŸ˜‹πŸ˜‚
 
AloooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi huyoo unavocco ukiambiwa hivi unalegea kila kiungo ..
Asante Mpendwa 😍.
 
@evelynsalt I missed you so much dada. Umepotelea wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…