Tag umpendaye humu JamiiForums na umtakie usiku mwema

Habari wanaJamiiForums.

Poleni na majukumu na hongereni pia kwa utaftaji. Mungu azidi kuwabariki.

Lengo la Uzi huu ni kumtakia tu yeyote umpendaye usiku mwema

Cha kufanya, tag yeyote umpendaye na kisha mwambie neno lolote la kumtakia usiku mwema.

Karibu.
lara 1
I love her,
Sijui ameibwa na nani?
 
Thanks dear😍nawe pia uote ufidodido..😛.
Ni vile tu napenda hulka yako,umbo lako na hata ukorofi wako wakichokozi..😉
Namshukuru fundi stadi aliekufinyanga kwa udongo maridhawa!,kazi yake yakutukuka ameionyesha kupitia wewe! Palipo stahili kubonyea alipobonyeza kiufundi stadi na hata palipostahili kutuna pamekutuna inavyostahili..!

Usiku huu wa leo pumzi yako itakuwa yangu na pigo lako la moyo litakuwa langu laaziz..😉
Tutakesha tukitekenyana kimahaba mixer kupeana kile cha uhondo..😋😂
 
Alooo😂😂😂 Mimi huyoo unavocco ukiambiwa hivi unalegea kila kiungo ..
Asante Mpendwa 😍.
 
@evelynsalt I missed you so much dada. Umepotelea wapi?!
 
Back
Top Bottom