Aisee nani alikuficha namna hiyo?Hii ni mpya kwangu
ila nilikumiss
wahenga wameamua kunificha aseeAisee nani alikuficha namna hiyo?
ha ha haaaFirst to reply..
ππππ Kweli mimi ni muhenga!!! Kuchambia gunzi usiombe hilo balaa lake..!!
Mume akiwa mhenga mke lazima naye awe mhengaSaint Ivuga na ww si muhenga wa tokea enzi zileee