Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nani alikuficha namna hiyo?Hii ni mpya kwangu
ila nilikumiss
wahenga wameamua kunificha aseeAisee nani alikuficha namna hiyo?
ha ha haaaFirst to reply..
🙂🙂🙂🙂 Kweli mimi ni muhenga!!! Kuchambia gunzi usiombe hilo balaa lake..!!
Mume akiwa mhenga mke lazima naye awe mhengaSaint Ivuga na ww si muhenga wa tokea enzi zileee