Tahadhar:wazazi wenye watoto makongo high school

Tahadhar:wazazi wenye watoto makongo high school

NGALAMU

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
39
Reaction score
7
Ndugu wazazi wenye watoto makongo sec.school hali ya shule ni mbaya maana mpaka sasa shule imefilisika na walimu hawajalipwa mshahara hivyo wamegoma na kufanya watoto hasa A'LEVEL&FORM I na III.Hali ni mbaya sana!!
 
Back
Top Bottom