Tahadhari dhidi ya utapeli mpya mjini

Drax001

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
443
Reaction score
228
Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu 50 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli
 

Attachments

  • Screenshot_20231105-113713.png
    96.1 KB · Views: 12
Mnakuwa na ushamba mwingi sana. Au mnakosa elimu ya msingi. Kutapeliwa ni kukubali kuwa mpumbavu. Mtu humfahamu, huna namna ya kumpata anakuambia nitumie tsh 50,000 unatuma. We una akili kweli? Wacha waendelee kuwala pesa zenu ninyi vilaza.
 
Hivi unawezaje kutapeliwa na mtu anaeandika tangazo kama hili, kweli hushtuki kabisa?

Imalisha.....

M.kopo......

Uku ukilipa......
 
We uliyetoa ela ni K.enge kabisa eti inch 50 laki 6, inch 55 laki 6 na nusu, inch 75 laki 7 na nusu. Narudia tena wewe ni KENGE hizi bei hata ukisamehewa ushuru bandarini na usilipie shipping kwenye meli bado hazipo. Kweli mafala hawatakaa waishe mjiniπŸ˜†πŸ˜†
 
Hamna kigeni hapo mukuu.. unatumaje pesa afu ujapokea mzigo wako!! Hata ofisi ujui iko wapi.. Sema utandawazi unafanya matapeli kuwa wengi sana.
 
Wapenda vitonga mtalia sana,eti inch 75 laki 850,000/= ulisikia wapi? Unaifahamu 75 wewe
 
Pole mkuu ila kama bado unahitaji kukopa TV nicheki DM tufanye namna nikupatie kwa arrangement za mkopo nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…