Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Wewe ndio unamatatizo.Yesu Yesu. Mna matatizo sana nyie aisee.
Kwani maarifa unayoyatumia sasa si yameandikwa na akina Abbott, au Aristoto au Newtons.
Mbona hao unawaamini na maarifa yao unayatumia.
Je kosa liko wapi kama mtu anachagua kutumia maarifa ya Yesu Kristo ambaye naye ni Mwanafalsafa pia ?
Naye Yesu anamaandiko ambayo yanaongeza maarifa kama ya akina Ally Mazrui.
Mbona unambagua sana Yesu wakati kitabu chake cha Agano Jipya kinauzwa kwa wingi kupita vitabu vyote duniani ?
Kinauzwa kupita kopi za akina Abbott wacha hizo wewe.
Yesu ni msomi pia na ameandika, wewe umeandika nini ?
Mimi nawaandikia walioathirika na HIV wewe kinakuuma nini ?
Nawaambia kuna watu wanapona kwa maombi kama unabisha angalia
Kwenye web ya
" scoan hiv healing service"
Hiyo ni huduma ya maombi na watu wamepona hapo, wewe chuki yako ni nini ?
Kama humwamini Yesu kama Nabii, mwamini kama Msomi kama wanavyomwamini wasomi wenzako.
Tafuta wanafalsafa nguli wa dunia utalikuta jina la Yesu Kristo hapo.
Kwa taarifa yako mimi nimefanya utafiti wa muda mrefu na nimejiridhisha na hiyo huduma ya
scoan
imeponya baadhi ya watu wenye HIV kwanini wewe unakataa harakaharaka bila kujiridhisha kwa muda fulani ?
Kama humwamini Yesu Kuna watu wanamwamini basi waachie hao usiwe ajenti wa kumkanusha tu.
Ungekuwa na busara kidogo tu ungefanya utafiti mdogo kwanza kabla ya kusema lolote.