Tahadhari gani za kuchukua Kwa mtu mwenye HIV?

Tahadhari gani za kuchukua Kwa mtu mwenye HIV?

Yesu Yesu. Mna matatizo sana nyie aisee.
Wewe ndio unamatatizo.
Kwani maarifa unayoyatumia sasa si yameandikwa na akina Abbott, au Aristoto au Newtons.
Mbona hao unawaamini na maarifa yao unayatumia.
Je kosa liko wapi kama mtu anachagua kutumia maarifa ya Yesu Kristo ambaye naye ni Mwanafalsafa pia ?
Naye Yesu anamaandiko ambayo yanaongeza maarifa kama ya akina Ally Mazrui.
Mbona unambagua sana Yesu wakati kitabu chake cha Agano Jipya kinauzwa kwa wingi kupita vitabu vyote duniani ?
Kinauzwa kupita kopi za akina Abbott wacha hizo wewe.
Yesu ni msomi pia na ameandika, wewe umeandika nini ?

Mimi nawaandikia walioathirika na HIV wewe kinakuuma nini ?

Nawaambia kuna watu wanapona kwa maombi kama unabisha angalia
Kwenye web ya
" scoan hiv healing service"
Hiyo ni huduma ya maombi na watu wamepona hapo, wewe chuki yako ni nini ?
Kama humwamini Yesu kama Nabii, mwamini kama Msomi kama wanavyomwamini wasomi wenzako.

Tafuta wanafalsafa nguli wa dunia utalikuta jina la Yesu Kristo hapo.

Kwa taarifa yako mimi nimefanya utafiti wa muda mrefu na nimejiridhisha na hiyo huduma ya
scoan
imeponya baadhi ya watu wenye HIV kwanini wewe unakataa harakaharaka bila kujiridhisha kwa muda fulani ?

Kama humwamini Yesu Kuna watu wanamwamini basi waachie hao usiwe ajenti wa kumkanusha tu.

Ungekuwa na busara kidogo tu ungefanya utafiti mdogo kwanza kabla ya kusema lolote.
 
Nahisi wewe ni TB Joshua mwenyewe.
Hapana ndugu yangu mimi siye.
Ila namejiweka kama muathirika wa HIV na hakika ndugu yangu hiyo web niliyoiandika imesaidia kuponya baadhi ya wagonjwa wa HIV.
Hebu chukua mda kuiangali kwa umakini.
Ukimwi hautibiki na unamaumivu makali sana, waathirika wako dunia ya mateso makubwa.
Hivyo nilijiridhisha na msaada wa uponyaji wa hiyo huduma ndio maaana najaribu kuwaambia waathirika wajaribu kuitumia nao wajiridhishe kwanza kwa kufanya utafiti wao
Ni kama natoa msaada kwao kwani mimi binafsi naumia sana na huu ugonjwa, kuna ndugu zangu walisha fariki na huu ugonjwa ndio nikaanza utafiti wa kujua chochote cha kusaidia hali hiyo.
Kuna jamaa alinipa habari kuhusu hiyo huduma na ikabidi nami nijiridhishe kwanza na baada ya kujiridhisha ndio naandika hivi.
Sijakurupuka mkuu naomba unisamehe tu.
Nawapa watu taarifa na nafasi ya kuichunguza hiyo huduma sio kwamba waende tu.
Ila nasema kwa dhati kabisa wengi wameponywa kabisa kwenye hiyo huduma.
Hebu angalieni kwanza kwa umakini msibishe kwa kuwa ni Imani flani au Nchi fulani au mtu fulani au mahali fulani
Ndio tunavyoidiana hivyo.

Ukweli lazima uwekwe wazi na wengine wanufaike.
Chunguzeni kwanza na sio harakaharaka mtu anaanza kubisha, tufanye mambo kwa uerevu kidogo hata.
Tuangalie tu hapo Youtube kwanza halafu ndio tuseme kitu fulani.
 
Mpuuzi wewe acha kuwapotosha wenzako
Wewe una busara sana Hongera sana kwa hilo.
Mimi sijawapotoshi watu.
Nimewawekewa web ili wajiridhishe kwanza.
Kama hawataridhika basi wanaweza kuacha kama wataridhika wanaweza kutumia hiyo huduma.
Mpotoshaji anatoa taarifa bila kuweka rejeo (reference) mimi nimeweka.
Naomba unisamehe ndugu yangu ila nakusgauri hata wewe jaribu kwanza kuangalia hiyo web
Unaweza ukapata jambo tofauti
 
Please have enough time to view on youtube

"scoan hiv healing service"

Sure you will find something new on the fighting against the desease.

Just have enough time to see.

Then say something later on.
 
Back
Top Bottom