Tahadhari: Giza limeota macho halafu lina masikio

Mshana achana na siasa... Waachie watu wenye maneno Mengi bila logic ww una fit kwingine kbs siasa ni mchezo wa kung'ong'a wananchi.
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
K.ilaza huwezi ukaelewa akili finyu rudi kwanza shule ukapate elimu ya kutosha na kuelewa yanayoandikwa humu.

Pumba tu hueleweki upo upande gan kutaka maendeleo au kupinga maendeleo.... Mmetaka maendeleo hlf mnayaogopa... Kwan kuna faida gan mwanaume ukisifiwa kuongea
 
Hahahahaaa namkbuka mtunz Wa kitabu cha morani alitumia logha ya kuhamasisha kukisoma ila unaweza jikuta hukimaliz maana utaona mtirirko Wa visa hauendani hata kidogo. Na haueleweki penda hii kaz ya fasih na ujumbe wake kaka mshana
 
Shukrani sana Mkuu leo nilikuwa naongea na marafiki tulilizungumzia hili kwa kirefu sana na watu wana hofu na si hofu ndogo. Mmoja alihadithia tukio lililomuhusu hivi karibuni na kudai aliingiwa na hofu kubwa sana lakini yuko salama. Sasa tufanyeje mshana jr? Tukae kimya na kuiacha nchi yetu iwe kama Rwanda/Burundi au tuendelee kupaza sauti dhidi ya huu udikteta uchwara!?

Vizazi vijavyo vitasema nini kuhusu kukaa kimya huku tukiona nchi inavurugwa ili tu watu wang'ang'anie madaraka milele!?

[emoji15] [emoji2] [emoji120] [emoji115] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana Mkuu leo nilikuwa naongea na marafiki tulilizungumzia hili kwa kirefu sana na watu wana hofu na si hofu ndogo. Mmoja alihadithia tukio lililomuhusu hivi karibuni na kudai aliingiwa na hofu kubwa sana lakini yuko salama. Sasa tufanyeje mshana jr? Tukae kimya na kuiacha nchi yetu iwe kama Rwanda/Burundi au tuendelee kupaza sauti dhidi ya huu udikteta uchwara!?

Vizazi vijavyo vitasema nini kuhusu kukaa kimya huku tukiona nchi inavurugwa ili tu watu wang'ang'anie madaraka milele!?
Tumefundishwa kuwa werevu kama nyoka, juzi kati hapa nimetishiwa na hata jana pia.... Nimefunzwa kuwa mpole kama HUA lakini mwerevu kama nyoka! Mbinu za kushinda vita kaka ni nyingi, ukizitangaza unampa adui ahueni.... Tuwe werevu kama nyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mh! Sawa Mkuu ila kweli hali inatisha sana. Watu kwenye vijiwe hata kupiga stories kama hizi wanahofia. Na ukikumbuka yaliyompata Ben Saanane ambayo hadi
hii leo hatuyajui, yule bidada wa sauti ya Kiswahili Ujerumani, Roma Mkatoliki na wenzie, Makamanda Lema, lijualikali, Lissu etc unajua fika nchi yetu inakoelekea siko kabisa.

honduras_no_freedom_of_speech_by_latuff2.jpg
press-freedom.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatisha Mkuu naona hata Burundi na Rwanda zitakuwa na ahueni siye tutachukua nambari ya juu kabisa kwa giza nene litakalotanda kila kona. Ukiguna tu umezingirwa, ukikohoa tu umezingirwa cha kusikitisha pamoja na hali hii ya kutisha ikizidi kushamiri nchini wastaafu ambao bado wanaheshimika sana nchini kama SAS, Warioba na labda Mzee RUKHSA wako kimyaaa kabisa. Panapofuka moshi........., na moto ukishawaka basi kuuzima kwake ni shiiiidaaaaaaaaaaaaaaaah!

Namuona kui anakodolea macho huu uzi kimya kimya ni aje kui? 😛😛😛
Hao wanamadudu yao.washapewa kalipio.ukifurukuta tu wanakuunganisha.ndo maana wapo kimyaaaa.maana wakichimama nchale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom