๐Ÿšจ ๐—ง๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—›๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—จ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฃ๐—›๐—ฃ ๐—ธ๐˜‚๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ช๐—ฒ๐—ฏ๐˜€๐—ถ๐˜๐—ฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. ๐ŸŒ



Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo linaloweza kuhatarisha taarifa na usalama wa tovuti.



๐Ÿ” Nani yuko hatarini? Wamiliki wa tovuti zinazotumia matoleo ya PHP yaliyoathirika, hasa wale ambao hawajasasisha mifumo yao ya usalama.



๐Ÿ›ก๏ธ Ushauri kwa taasisi za Serikali kuhakikisha mifumo yao ya PHP imesasishwa, mifumo ya usalama imeimarishwa na shughuli zisizo za kawaida zinafuatiliwa kikamilifu ili kuwa Salama.

๐Ÿค” SWALI: Unafikiri tovuti nyingi zinaweza kuwa hatarini kwa sababu ya kupuuzia masasisho ya usalama?
 

Attachments

  • 4_20261028_091825_0003.png
    288.3 KB · Views: 2
Ndio. Kupuuzia maswala haya ya usalama yanaweza kuleta athari kubwa na hata kupelekea mifumo au website kuingiliwa na data kuibiwa. Baadhi ya Tovuti na system nyingi maeneo tofauti tofuauti duniani, ambazo hazikuwa zimefanyiwa update ziliathiriwa na hii changamoto zingine zilienda down. Hivyo ni muhimu kuchukua tahadhari mapema
 
Ngoja niende tamisemi nikalipe kisasi ya kunyimwa kazi..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ