TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba
Naomba unielwesha, MO mlikuwa na mchakato naye ambao ulikuwa on going sasa kwa kuingia mkataba na chombo kingine bila kumshirikisha MO ni sasa?
 
Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Na Mzee Dalali mlimfanyaje? Au nimesahau, si mlitaka kuchoma nyumba yake Magomeni? Na hiyo ndiyo maana yenu. Mtaishia kunawa tu..
 
Watoto wa mjini walivyomchezea Mo.

Makofia kajifanya hakushirikishwa hivyo akajiuzulu. Eti kesho yake tu kakaa na wenzie akatengua Kujiuzulu kwake. Prof. Lipumba upo?

Muda wote huo Mo alikuwa anaangalia sinema ya wajanja. Ikabidi Makofia ndiyo amwingie Mo, "muhanga" mwenzake wa kutoshirikishwa! Wamekaa na Mo, kaingia mkenge.

Mkataba wa SportPesa uko pale pale. Hela wamepiga na Mo anaendelea kutoa pesa. Watoto wa mjini noma kweli.
 
Wasomi Simba! Hahahaaa.. Asikusikie Aden Rage! Walioitwa mambumbumbu na mwenyekiti wao wa Club ni team ipi!
Wanaodai points 3 ilihali wamefungwa na wamekiuka kanuni za rufaa ni nani..
Walioshindwa kuisoma na kuielewa mikataba ya wadhamini wa Club na kuingizwa Chaka na Sportpesa ni nani.... Hao ndo wasomi sio,. Hahahahaaaa
Tupo pamoja sanaa nidhair atakua kaelewa sas wakurupukaji sanaa
 
Hivi nimecheka kuona timu mbili kongwe - mashabiki wanabishana nani bora ktk ujinga. Viongozi wapande mbili zote wapiga dili na eti washabiki hawalijui hilo?? Yale yale ya nyani haoni ..... anacheka la mwenzake. 🙁🙁🙁
 
Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba

Contact law, atleast kuna mwanachama wa simba msomi.
 
Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba

Polen mkalipe mkopo wa watu sasa
 
ndala bna mnaingilia yasiowahusu
kwanza wachezaji wenu bado hamjawalipa
 
Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Eti wasomi !ndiyo wangeingia kichwa kichwa kusainishwa mkataba kwa harufu ya shilingi?msomi mwenyewe Manara?
 
Back
Top Bottom