Naomba unielwesha, MO mlikuwa na mchakato naye ambao ulikuwa on going sasa kwa kuingia mkataba na chombo kingine bila kumshirikisha MO ni sasa?Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba
Kipukuswa alikuwa hajui kusoma wala kuandika na aliiongoza simba ya wasomi
Na Mzee Dalali mlimfanyaje? Au nimesahau, si mlitaka kuchoma nyumba yake Magomeni? Na hiyo ndiyo maana yenu. Mtaishia kunawa tu..Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Tupo pamoja sanaa nidhair atakua kaelewa sas wakurupukaji sanaaWasomi Simba! Hahahaaa.. Asikusikie Aden Rage! Walioitwa mambumbumbu na mwenyekiti wao wa Club ni team ipi!
Wanaodai points 3 ilihali wamefungwa na wamekiuka kanuni za rufaa ni nani..
Walioshindwa kuisoma na kuielewa mikataba ya wadhamini wa Club na kuingizwa Chaka na Sportpesa ni nani.... Hao ndo wasomi sio,. Hahahahaaaa
Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba
Typing errorContact law, atleast kuna mwanachama wa simba msomi.
Typing error
Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba
nyie mkodisho fc mmelipa mishahara wachezaji wenu?Polen mkalipe mkopo wa watu sasa
Eti wasomi !ndiyo wangeingia kichwa kichwa kusainishwa mkataba kwa harufu ya shilingi?msomi mwenyewe Manara?Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Ndiyo ujue mikia fc hawajitambuiHahahaaaa jamaa kaandika maneno matano umemjibu ukurasa mzima, angeandika ukurasa je, si ungeandaa kitabu kizima.