JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Unashauriwa kuharibu kabla ya kutupa Waraka wowote ambao una jina lako, anuani ya makazi, namba yako ya simu na Anuani yako ya barua pepe
Taarifa hizi zinaweza kutumika kufungua Akaunti ya Ulaghai kwa kutumia jina lako