TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kwanza Oujia ni nini?
Huu ni ubao wenye alfabeti na ishara nyingine kadhaa ambazo kwa kuangalia tu zinakupa taswira ya kitu fulani kisicho cha kawaida.
Taswira ya kitu kisicho cha kawaida hukujia kutokana na aina kadhaa ya image zilizopo kwenye ubao wenyewe na ambazo baadhi ya watu wanaamini kuwa zinaweza kutumiwa kuwasiliana na roho za watu waliokufa na ambazo zinaweza kuja baada ya kuziita na ukaongea nazo hata kukupa kitu inachoweza kukupa.
Oujio board haikamiliki mpaka ime na msaidizi wake wa karibu sana ambaye ni kama kiongozi muongozo njia, huyu/hii ni dira, inaweza kuwa ni ubao au hata kiplastic maalum chenye mfano huu.
Ukitaka kukamilisha na ili hawa jamaa waungane nawe au wafanye kazi kwa umoja lazima kuwepo na muunganiko katika mfumo huu hapa.
Twende ndani.
Unapopata wazo au kuamua kuucheza huu mchezo au kuwa mpweke unataka ndugu (hidden demon/spirit) wa kupiga nao story au wakupe habari na mambo usiyoyajua au hata kesho yako, hao wanaweza kuja.
Ila kila jambo lina uzuri na ubaya wake na hapa chini nakupa... Lamomy uliniuliza, haya soma hapa chini.
2. Usicheze Ukiwa na Msongo wa Mawazo.
3. Usicheze ukiwa Mchafu.
4. Icheze kwa umakini sana bila papara.
5.Usiwadanganye (demons) wakaondoka kwa kuruka namba.
6. Eneo la kona lina Ishara mbaya.
7. Usiruhusu kuchora ZO mara 24 Huyu Pepo ni hatari sana.
8. Unapomaliza Kucheza funga means maliza, kwa kuagana na ndugu yako uliyemuita.
9. Ukiupenda usiwe mraibu.
10. Usiamini kamwe hizo Roho.
11. Usichome moto (kama alivyofanya huyu Bob Manson )
12. Ioshe kwa maji as holy then bury it.
13. Tumia mshumaa mweupe ni ishara ya kukupa ulinzi.
14. Muulize/ongea na Mungu wako kabla au kwa litakalotokea hata kifo (supposedly)