TAHADHARI: Hizi Faida na Hasara za Kucheza au Kuziita Roho Zisizoonekana kwa kutumia ubao wa Oujia

TAHADHARI: Hizi Faida na Hasara za Kucheza au Kuziita Roho Zisizoonekana kwa kutumia ubao wa Oujia

Upuuzi mwingine wa vilaza wa bongo,
Sasa haya majitu, yanasaidia nini,
Lishe, ajira, afya,sayansi, na tekinolojia,
Uchumi wa, nchi kukua, viwanda, au, nini?
Kamanda ukikaa sebureni kwako unaangalia sinema au kusoma hadithi zinakusaidia nini kijana wa kitanzania?.
 
Hiyo lazima nijaribu haitishi km mnavyoipamba, nataka nihakikishe km kweli.!!
Ila kuna no 10 umesema tusiziamini, kwahiyo ni waongo??

Hiyo ni sheria zake mkuu.
-
Kama amri ya Mungu inasema usizini ila mtume Issa bin Mariam anasema ukimtazama mwanamke kwa kumtamani tayari umezini.
 
Mkuu hiki kitabu umemtajia cha zamani nadhani miaka ya themanini nilikiona yumkn uliyemtajia hakuwapo ulimwenguni miaka hiyo
Nilikuwa nacho bahati mbaya nilisahau kwenye tax mwaka 2001 huko kanda ya ziwa.
---
Kuhusu huyo dogo nimemuuliza ili nimpe majibu yatakayomsaidia na familia yake.
 
Tusiwaamini kivipi?
Na je, mtu unaweza kuwaita ukawatama msaada wa jambo fulani? Watakupa masharti magumu?
Ama inakuwaje?
Kwa maana mimi siku zote wazungu wana mambo mengi kwenye hii dunia halafu sisi tunafichwa na kuaminishwa ni sayansi. Sayansi zingine wanafundishwa na hawa hawa viumbe.
Mkuu naomba unijibu maswali yangu hapo juu.
 
Ukiukosa nenda kachonge kwa Seremala andika tarakimu alphabet pentagram kama ilivyo.
H ishu naona imekaa kiimani zaidi kwahy upo sahihi kusema hvy, cha msingi n kuzingatia mambo yanayotakiwa ili awaone hao anaowahitaji
 
Hiyo lazima nijaribu haitishi km mnavyoipamba, nataka nihakikishe km kweli.!!
Ila kuna no 10 umesema tusiziamini, kwahiyo ni waongo??
Sasa babe, kama mende tuu unaogopa vp ukianza kuona vigagula mubashara?
 
Ukiukosa nenda kachonge kwa Seremala andika tarakimu alphabet pentagram kama ilivyo.
Ili kikurambe vizuri, mara paaap umeshaita vibwengo kadhaa unakula nao story then unataka kumaliza mchezo kumbe funguo haifungi coz fundi selemara alikosea, hapo itakua kila unakoenda unatembea na vibwengo vyako tu hahahahaaa.
 
Mmoja auchukue aunyee na kusiliba kinyesi na mkuu tuone nini kinatokea
 
Ongezea nyama kidgo hapo.
Naona umepata soft copies ya kipya ila kuna cha zamani kwa ajili ya watu wa zamani.

Although big up kwa kuwa na uthubutu kutafuta, wengine wangebaki kuraumu hapa uhani!.
 
Back
Top Bottom