Je dyudyu huogopi?Mimi siogopi mende bana πΉπΉπΉ
Una joto? Mbona unaingiza habari za kikahaba?? ππJe dyudyu huogopi?
Dah πUna joto? Mbona unaingiza habari za kikahaba?? ππ
Watafute wale wapenzi wa hizo story mliozoeshana kuongea utumbo, hapa umepotea njia..!!
kana mikausho..π€£Una joto? Mbona unaingiza habari za kikahaba?? ππ
Watafute wale wapenzi wa hizo story mliozoeshana kuongea utumbo, hapa umepotea njia..!!
Aiseekana mikausho..π€£
Halafu kila mara nakukataza hizo story zako husikii.!!Dah π
πΉπΉπΉ Huyo mpare akiona id yangu tyuu anawaza mchezo mbaya sijui ana matatizo gani???kana mikausho..π€£
itakuwa amekulavulavuπΉπΉπΉ Huyo mpare akiona id yangu tyuu anawaza mchezo mbaya sijui ana matatizo gani???
Tatizo hajui jinsi ya kuiomba πΉπΉπΉitakuwa amekulavulavu
tutampiku shauli yake...Tatizo hajui jinsi ya kuiomba πΉπΉπΉ
Okay Sir!!!Naona umepata soft copies ya kipya ila kuna cha zamani kwa ajili ya watu wa zamani.
Although big up kwa kuwa na uthubutu kutafuta, wengine wangebaki kuraumu hapa uhani!.
Nisamehe babe πHalafu kila mara nakukataza hizo story zako husikii.!!
Nitatumia bakora km mbishi πΉπΉπΉ
π Inaombwaje πTatizo hajui jinsi ya kuiomba πΉπΉπΉ
Una kesi nimepewa file lako na Mtoto halali na hela.!!Nisamehe babe π
Eh em nipe intro ya hilo file πUna kesi nimepewa file lako na Mtoto halali na hela.!!
Anza kuomba msamaha kabla sijakukanyagia πΉπΉπΉ
Mpk evidence nimewekewa πΉπΉπΉEh em nipe intro ya hilo file π
Ushirikina huuView attachment 3045563
Kwanza Oujia ni nini?
Huu ni ubao wenye alfabeti na ishara nyingine kadhaa ambazo kwa kuangalia tu zinakupa taswira ya kitu fulani kisicho cha kawaida.
Taswira ya kitu kisicho cha kawaida hukujia kutokana na aina kadhaa ya image zilizopo kwenye ubao wenyewe na ambazo baadhi ya watu wanaamini kuwa zinaweza kutumiwa kuwasiliana na roho za watu waliokufa na ambazo zinaweza kuja baada ya kuziita na ukaongea nazo hata kukupa kitu inachoweza kukupa.
View attachment 3045562
Oujio board haikamiliki mpaka ime na msaidizi wake wa karibu sana ambaye ni kama kiongozi muongozo njia, huyu/hii ni dira, inaweza kuwa ni ubao au hata kiplastic maalum chenye mfano huu.
View attachment 3045564
Ukitaka kukamilisha na ili hawa jamaa waungane nawe au wafanye kazi kwa umoja lazima kuwepo na muunganiko katika mfumo huu hapa.
View attachment 3045571
Twende ndani.
Unapopata wazo au kuamua kuucheza huu mchezo au kuwa mpweke unataka ndugu (hidden demon/spirit) wa kupiga nao story au wakupe habari na mambo usiyoyajua au hata kesho yako, hao wanaweza kuja.
Ila kila jambo lina uzuri na ubaya wake na hapa chini nakupa... Lamomy uliniuliza, haya soma hapa chini.
View attachment 30455731. Usicheze ukiwa mwenyewe.
2. Usicheze Ukiwa na Msongo wa Mawazo.
3. Usicheze ukiwa Mchafu.
4. Icheze kwa umakini sana bila papara.
5.Usiwadanganye (demons) wakaondoka kwa kuruka namba.
6. Eneo la kona lina Ishara mbaya.
7. Usiruhusu kuchora ZO mara 24 Huyu Pepo ni hatari sana.
8. Unapomaliza Kucheza funga means maliza, kwa kuagana na ndugu yako uliyemuita.
9. Ukiupenda usiwe mraibu.
10. Usiamini kamwe hizo Roho.
11. Usichome moto (kama alivyofanya huyu Bob Manson )
12. Ioshe kwa maji as holy then bury it.
13. Tumia mshumaa mweupe ni ishara ya kukupa ulinzi.
14. Muulize/ongea na Mungu wako kabla au kwa litakalotokea hata kifo (supposedly)
Ah baby tusifikie huko, em njoo PM love πMpk evidence nimewekewa πΉπΉπΉ
Hapa najiandaa kwenda ustawi wa jamii tujue jinsi ya kupeana child support ndoa ishaisha.!!