Tahadhari ichukuliwe Mkesha wa Mwamposa la sivyo ya Moshi yatajirudia

Tahadhari ichukuliwe Mkesha wa Mwamposa la sivyo ya Moshi yatajirudia

Muujiza wa mwamposa ni mkali sana yaani mtu anaangalia tv kila kitu kinakaa sawa! Magonjwa yanatibika kwenye tv, mtu anapata mme kupitia tv 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aiiiiiii nina imani ndogo.

Huyu muumini wa mwamposa aliniambia alikuwa anasali kwenye tv akapata mme ni kweli amefunga ndoa ila mmmh!!!

Dear mtumishi wa Mungu mimi sikupingi mtumishi nakuomba tu toa siku moja fika muhimbili piga maombi ponyesha hata wale ambao hawawezi kusimama maisha yao yote.
Ukifanya hivyo hadhalani pesa raia watakuletea kwako mlangoni.

Mbona yesu aliponya watu live? Si ujaribu na wewe hata mara moja?

Sipingi watumishi wa Mungu lakini kwa nini hawajitolei kwenda mahospitalini wakatoa sadaka kuombea watu wapone?
Mimi ni mmoja wao
 
Nimeona mabango na taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na pia nimepita maeneo ya Kawe Tanganyika Packers na viunga vyake naona watu wameanza kumiminika ikiwa ni maandalizi kuelekea mkubwa mkesha mkubwa uliopewa jina la " 'MKESHA USIO SAHAULIKA' CHAKO NI CHAKO" ambapo unatarajia kufanyika kesho Julai 05/07/2024.
Kwa hali na mazingira yalivyo inaonesha kutakuwepo na kundi kubwa la Watu ambao wanatarajiwa kufika eneo hilo kutoka mikoa mbalimbali hata nje ya Nchi huku wengine wakiwa tayari wameanza kuwasili kwenye viwanja hivyo.

Ambapo nilipopita eneo hilo wengine nimeona wakiwa na Watoto wadogo jambo ambalo linanipa hofu hasa usalama wa watoto hao endapo watu watakuwa wengi zaidi.

Niliposikia kutakuwepo na zoezi la kukanyaga mafuta imenifanya kurejesha kumbukumbu zangu nyuma na kukumbuka tukio la mwaka 2020 watu wasiopungua 20 walidaiwa kufariki dunia kwenye viwanja vya Majengo Mjini Moshi wakati zoezi la kukanyaga 'Mafuta Upako' kwenye kongamano la Mtume Boniface Mwamposa.

Uenda ni mashaka yangu lakini natahadharisha umma ambao unapanga kwenda eneo hilo kuzingatia usalama binafsi ikizingatiwa mkesha huo unaanza majira ya saa mbili usiku hadi asubuhi saa 12 asubuhi.

Pia nitoe wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kutia jicho la tatu kwenye mkesha huo na lolote hasi hasa linalohusu usalama wa raia ambalo likitokea wahusika wawe tayari kuwajibika au kuwajibisha watakaopelekea changamoto endapo ikijitokeza.

Alishajipanga na upande wa watawala lolote litalotokea hakuna wa kumgusa. Mark this comment
 
Muujiza wa mwamposa ni mkali sana yaani mtu anaangalia tv kila kitu kinakaa sawa! Magonjwa yanatibika kwenye tv, mtu anapata mme kupitia tv 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aiiiiiii nina imani ndogo.

Huyu muumini wa mwamposa aliniambia alikuwa anasali kwenye tv akapata mme ni kweli amefunga ndoa ila mmmh!!!

Dear mtumishi wa Mungu mimi sikupingi mtumishi nakuomba tu toa siku moja fika muhimbili piga maombi ponyesha hata wale ambao hawawezi kusimama maisha yao yote.
Ukifanya hivyo hadhalani pesa raia watakuletea kwako mlangoni.

Mbona yesu aliponya watu live? Si ujaribu na wewe hata mara moja?

Sipingi watumishi wa Mungu lakini kwa nini hawajitolei kwenda mahospitalini wakatoa sadaka kuombea watu wapone?

Hio ni spiritual mkuu. Kafara kama la moshi lazima liwepo. Ili aendelee kupanda RANK.
 
Nyie Wagalatia ndomaana hata mtume paulo aliwamaindi cos hamna msimamo kabisa.......
Mwamposa fireeeeeee
Anawakamata wendawazimu na wavivu tu,mtu timamu anayemuamini Mungu na anaemini kufanikiwa kupitia nguvu na akili alizopewa na Mungu humkuti kwenye huo ujinga.

Mind you,siyo Galatians tu wapo kwenye huo ujinga humo utakutana mpaka na waislam maskini ya Mungu hata hawajui wanataka nini zaidi ya kwenda kupigwa kwa maigizo fake.
 
Back
Top Bottom