Hii nimeisikia kwako kwa mara ya kwanza yan uji wa ulezi pekee!?Yeh, unga wa ulezi wanaweka maziwa mgando baada ya uji kuiva. Huu ni upikaji wa asili unavyokuwa huko uchagani. Pia huwa wanaongeza siagi kama uchumi unaruhusu. Huu upikaji wa uji wa ulezi kwa watoto ambao huchanganya vitu kama karanga, ngano nk. ni version ya ambayo imeanzia mjini.
Aaliyyah mi kwenywe swala uji sio mtaalam kabisa!🙈
Asante kwa ufafanuzi. Hebu eleza ile taasisi iliyofutwa ilikuwa ikishughulikia maswala gani. Hapo ndipo sikuwa na ufahamu napo.Mkuu kwani TFNC -
"Tanzania Food and Nutrition Centre" ina kazi gani?
TFDA unayosema haikufutwa bali ilitengenishwa Vyakula kivyake na Madawa kivyake ili kuleta ufanisi kwa hiyo vyakula vinasimamiwa haswaa.
Yap. Wachaga mbona ni chakula chao cha asili kwa wanawake waliojifungua? Kama ni kuchanganya mambo mengine haya mambo yameanza miaka ya karibuni. Zamani ilikuwa uji wa ulezi+maziwa mgando+siagi(option)Hii nimeisikia kwako kwa mara ya kwanza yan uji wa ulezi pekee!?
aisee!Yap. Wachaga mbona ni chakula chao cha asili kwa wanawake waliojifungua? Kama ni kuchanganya mambo mengine haya mambo yameanza miaka ya karibuni. Zamani ilikuwa uji wa ulezi+maziwa mgando+siagi(option)
Yaani unavotoa hiyo tahadhari utafikiri watu wanalishwa sumu. Unga wa mchele si ndio vitumbua hivyo? Mchele si ndio wali huo? Au umeeambiwa hii combination ya mchele na ulezi ni sumu?ny najiuliza
Nimeshangaa kuona mleta mada anatoa tahadhari kamamchele ni kitu kibaya 🥲
Kwani Kuna tatizo Gani kuchanganya mchele na ulezi?Unakumbuka ile taasisi ya Lishe serikali iliifuta?
Inawezekana serikali ilifanya hivyo kwa ujinga ilionao, kutojua umuhimu wa taasisi kama hiyo.
Hata hivyo nachelea kusema serikali itakuwa imechukuwa uamzi kama huo kwa vile taasisi ilikuwa ikifanya kazi zake kwa ueledi.
Mambo kama haya uliyo yaelezea hapa hutokea kwenye nchi hovyo hovyo kama hii yetu sasa hivi. Serikali hakuna inalosimamia kwa ufanisi, kila jambo ni hovyo hovyo tu.
Hatar sana ila wali anakula😂😂Nimeshangaa kuona mleta mada anatoa tahadhari kamamchele ni kitu kibaya 🥲
Sioni tatizo linaloweza kutokea kuchanganya mchele na ulezi. Binafsi, nijuavyo hakuna tatizo. Lakini hilo siyo swala hapa.Kwani Kuna tatizo Gani kuchanganya mchele na ulezi?
Kwani ulezi una extra Gani kiubora zaidi ya mchele?zote si ni wanga tu?au Mimi ndio sielewiSioni tatizo linaloweza kutokea kuchanganya mchele na ulezi. Binafsi, nijuavyo hakuna tatizo. Lakini hilo siyo swala hapa.
Anayeuza huo uji anatangaza ni uji wa ULEZI, na mnunuzi, ananunua kwa kuamini hivyo alivyo ambiwa, kuwa ni uji wa ulezi; kumbe ukweli ni kwamba ni uji wa mchanganyiko, ulezi na unga wa mchele.
Sasa niambie, hakuna udanganyifu hapo?
LOooh! Joannah.Kwani ulezi una extra Gani kiubora zaidi ya mchele?zote si ni wanga tu?au Mimi ndio sielewi
Nashukuru hatimaye umenielewa.Kwani ulezi una extra Gani kiubora zaidi ya mchele?zote si ni wanga tu?au Mimi ndio sielewi
😁😁 Nimependa ulivyoanza maelezo,yaani ni kama nakuchosha....Ukisema ulezi upo juu kuliko mchele unakosea,bei ya soko inayotambulika na wizara ya viwanda na biashara mchele ndio uko juu,mchele min ni sh 2000-max3000,na wakati ulezi ni min1800-max1900..Sasa Ukiona mama kakuchanganyia na mchele ujue wewe ndio mnyonyaji........ila inaonekana wewe ni mpenzi wa uji wa ulezi.LOooh! Joannah.
Ni hivi: kabla hata ya kwenda huko kwenye ubora n.k., ni udanganyifu, kudai kwamba mtu anauza uji wa ulezi, wakati ni mchanganyiko wa ulezi na unga wa mchele. Aseme tu wazi kwamba anauza uji uliochanganywa ulezi na mchele, na watu wanaotaka uji wa namna hiyo watanunua kwa hiari yao wenyewe, kwa bei iliyopangwa na muuzaji.
Kuna watu unapowaambia ni uji wa ulezi, wanajuwa ni ulezi ambao haukuchanganywa na mchele, na wao watanunua kwa bei husika. Hapo hakuna udanganyifu wowote.
Kuhusu utofauti uliopo kati ya ulezi na mchele, kuna vitu vingi; inaweza hata kuwa ni muonjo wake tu; kiasi cha wanga, 'fiber', na kadhalika. Bado hatujazungumzia madini, na hata kiasi cha protein, hata kama ni kidogo sana kwa kila moja wapo.
Lakini ninachokusisitizia ni hilo la kutokuwa mdanganyifu unapofanya biashara ya aina hiyo. Bila shaka unajua kwamba bei ya ulezi ipo juu kulko bei ya unga wa mchele. Sasa nikuulize hapa, wewe unadhani ni kwa sababu gani?
Maajabu!Hatar sana ila wali anakula😂😂