Mimi ni waliperson!yaani kwangu mchele ndio best wanga ukifuatiwa na ngano...huo ulezi ukipikwa bila kuchanganya ndio sili kabisaaaaNashukuru hatimaye umenielewa.
Basi usiishie kucheka tu, toa mrejesho kuwa sasa uko vizuri juu ya hili.
Sasa unataka kunidanganya huku nikiwa macho kabisa!ππ Nimependa ulivyoanza maelezo,yaani ni kama nakuchosha....Ukisema ulezi upo juu kuliko mahindi unakosea,bei ya soko inayotambulika na wizara ya viwanda na biashara mchele ndio uko juu,mchele min ni sh 2000-max3000,na wakati ulezi ni min1800-max1900..Sasa Ukiona mama kakuchanganyia na mchele ujue wewe ndio mnyonyaji........ila inaonekana wewe ni mpenzi wa uji wa ulezi.
Sawa, sina la ziada juu ya hilo, ila kusema tu kuwa kuna wengine wasiosikia la mtu inapokuja katika uji wa Ulezi. Hawataki kabisa kuchanganyiwa na unga wa mchele. Kwa hiyo ni bora kuwa muwazi kabisa unapofanya biashara hiyo. Sema unauza uji uliochanganywa ulezi na mchele; usiishie tu kuwadanganya kuwa uji ni wa ulezi.Mimi ni waliperson!yaani kwangu mchele ndio best wanga ukifuatiwa na ngano...huo ulezi ukipikwa bila kuchanganya ndio sili kabisaaaa
Ndio hivyo,we tafuta hata takwimu za bei ya nafaka utaona mchele juu ulezi chini....labda tu nikuume sikio,,,wanatumia chenga,ambazo bei yake ni 800-1000ππSasa unataka kunidanganya huku nikiwa macho kabisa!
Huyo mfanya biashara anayenunua ulezi kwa bei ndogo, huku akijua mcele ni ghali; halafu aamue kuchanganya na ulezi, ili apate hasara ya bei aliyonunulia mchele; biashara ya namna hii sijawahi kuisikia. Pengine ndiyo sababu biashara zetu nyingi ndogo ndogo huwa hazifanikiwi, kwa sababu hatufuati kanuni za biashara.
Labda nikuombe unifahamishe hili: ni sababu gani zinazofanya ulezi uchanganywe na unga wa mchele? Inawezekana hilo ndilo silijui.
Kabisa wanakula wananona asee πWanaweka hivi kwa watoto. Wa watu wazima mara nyingi huwa ni ulezi bila kuchanganya unga mwingine. BTW uji wa ulezi na mtori origin yake ni uchagani na hivi ni vyakula vya mama waliojifungua.
Sawa mkuu. Nashukuru kwa ushauri. Lakini ulezi na mchele vyote ni carbohydrates. Sioni kama kuna virutubisho utavikosa hata ukinywa uji wa mchele peke yake ukilinganisha na uji wa ulezi peke yake. Tofauti ipo tu kwenye ladha lakini matumizi mwilini ni sawa....they all energy-giving foods and have the same chemical contents and composition.Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwape tahadhari kabla ya kuwatakia usiku mwema
Ni kwa wale Ndugu zangu wanaopenda kunywa uji wa ulezi kama mimi hapa.
Huu ni utafiti usio na chembe ya uongo kuhusu uji wa ulezi unaouzwa kwa kutembezwa barabarani na Wamama hususani hapa Dar es salaam
Inadaiwa kuwa uji huo huwa unachanganywa kwa ufundi mkubwa na mchele uliosagwa.
Sababu ni gharama kubwa za unga wa Ulezi hivyo wauzaji huchanganya na mchele ili kuufanya uji huo uwe mzito na hivyo kumpatia muuzaji faida huku mnywaji akikosa virutubisho muhimu
Unashauriwa kuwa makini na matumizi ya uji huo unaotembezwa barabarani vinginevyo nenda sokoni nunua unga kisha mpatie mkeo akuandalie
Njia rahisi kugundua mchanganyo huo haramu kwa wazoefu ni ladha tu ya uji kuwa siyo ya kawaida
Ucku mwema
View attachment 2968677
Unaona sasa, kumbe jibu ulikuwa nalo, lakini hukutaka kulitumia hadi mwisho! Tabia hii inaturudisha nyuma sana waTanzania. Hapo kutumia chenga za mchele kupata unga, inakuwa siri, kana kwamba ni 'patent ya jambo jipya kabisa lililogunduliwa karibuni!. Chenga za mchele inakuwa ni siri kubwa ya kibiashara!Ndio hivyo,we tafuta hata takwimu za bei ya nafaka utaona mchele juu ulezi chini....labda tu nikuume sikio,,,wanatumia chenga,ambazo bei yake ni 800-1000ππ