TAHADHARI: Iwapo una mpango wa kujiagizia gari

TAHADHARI: Iwapo una mpango wa kujiagizia gari

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
358
Reaction score
675
TAHADHARI TAHADHARI

Punguza usumbufu kwa kutojiagizia gari mwenyewe

Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari

Mada hii fupi inakuja baada ya kuona baadhi ya ndugu zetu waliojiagizia wenyewe au kupitia watu wao wa karibu wenye uzoefu na matokeo yake gari zao zikachelewa mpaka miezi 6, zikabadirishwa au wakapoteza pesa yao haswa kama walitumia kampuni zisizo za uhakika kwa kufuata unafuu wa bei

Sababu ya wengi kukwepa kuagiza nasi kampuni za kitanzania ni hisia au maneno ya mitaani kwamba kampuni hizi tunajiwekea pesa ya ziada (cha juu), lakini hao hao wateja wanasahau kwamba kwa sasa kila kitu ni wazi hivyo sio rahisi kuweka hicho cha juu haswa kwa kua gari tunachagua na kupiga hesabu pamoja na mteja. Malipo yetu yanatokana na discount tunayopata nje

unapoagiza na kampuni ya kitanzania tena ya watu unaowaona kama sisi ni salama zaidi kwa kua mkataba unatupa wajibu kucover hata madhara ya kwenye meli au bandarini kuliko kwenda kujaribu kule nje kwa kampuni ambazo hazina hata membership kwenye taasisi za kiserikali za kule nje.

Sababu ya uzoefu wetu na hicho kidogo tunachokipata kutoka nje, tukiunganisha toka kwenu mlio wengi tunakua na nguvu kiasi ya kucover changamoto ndogo ndogo kama mkataba unavyoelekeza hivyo vizuri uamini kampuni hizi za kizawa haswa Kimomwe Motors (T) Ltd- kwa uhakika na usalama wa pesa na chombo chako.
 
Huwa mnatoa na kuwapa wateja wenu auction sheet kutoka kule ambako mmenunua gari zenu?
 
Mbona tangazo kipofu!

Mko wapi na mawasiliano yenu!?
 
Back
Top Bottom