Tahadhari Kabla ya Kuoa: Fanya Tathmini ya hali ya kiuchumi na mshikamano wa Familia ya Mkeo mtatarajiwa kabla hujajifunga kitanzi

Body counts utazijua na kuzihesabu vipi?
Past ya mtu utaiijuaje na mmekutana kimjini mjini?
Historia ya familia na migogoro pamoja na makando kando yao nani atakujuza endapo kama atafanya kuwa siri?
Ushirikina wa ndani ya familia nani atakuambia wakati mmekutana Tanga halafu kwao ni Rukwa?

Hitimisho: Mengi ulioyaeleza ya ategemea simulizi ama taarifa toka kwa mhusika. Vipi akiamua kuyafanya kuwa siri?
 
Unashindwa kuhonga hata ndugu Yao mmoja mlevi au hata mshenga mchangamfu kukutonya/kukufanyia research ?
Tatizo kwa Watanzania linaanzia hapa, yaani mambo ambayo serious tunaachia bahati/chance; unashindwa kutenga bajeti ya laki moja unakuja kuchoma mamilioni huko mbele unnecessarily
 
Kwa sasa kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume wenye sifa za kuwa waume za watu kuliko wanawake wenye sifa za kuwa wake za watu.

Hiki kizazi cha sasa cha wanaume ni kizazi chenye quality ya chini kabisa ya wanaume wanaoweza kuwa waume za watu ukilinganisga na kipindi cha miaka ya 90 kurudi nyuma. Ni kizazi cha wanaume ambao hawajaandaliwa kuiongoza taasisi ya familia katika nyanja zote za ndoa. Kizazi hiki kina wanaume waoga wa majukumu kuliko maelezo. Ni kizazi kinachoamini katika kusaidiana kwenye kuleta kipato cha kutunza familia.

Miaka yetu wanaume tuliangalia mwanamke mwenye kujitambua na mwenye kuweza kusimamia vyema rasilimali zitakazoletwa nyumbani kwa ajili ya ustawi wa familia, baba akiwa ndie source of every income brought into the family. Hatukuangalia sijui mwanamke awe anajishughulisha, sijui muajiriwa nk. Kwanza mwanamke ambaye alikuwa highly demanded ni yule tuliyemkuta nyumbani kwa wazazi wake; hata akiwa na 25yrs hiyo ilikuwa ni mali safi sana.

Kizazi hiki kinataka ati na mwanamke alete kipato kwenye familia, ajinunulie sijui mafuta ya kupaka, chupi nk. vilevile achangie mpaka kuleta chakula na kulipa ada za watoto; a very hopeless generation.

Huwa nadharau sana kijana anayesema sijui mwanamke asiye na kazi/biashara sioi. Kijana anaacha kuangalia useful soft skills (kama uwezo wa mwanamke kuja kumudu malezi bora ya watoto pamoja na uwezo wa kusimamia rasilimali za familia) anaangalia very stupid criterias kama kazi nk.

Mtoa mada hukuandaliwa na wazazi wako kuwa mume wa mtu na responsible head of the family na hayo ulioandika ni upupu mtupu.
 
Kwa miaka ya 90 nakataa umesema uongo.

Kwa kutazama viongozi na watu maarufu wake zao wote hawakuwa mama wa nyumbani. Walikuwa wafanyakazi hasa walimu wa shule.

Kikwete kaoa miaka hiyo ila mke wake mwalimu.

Magufuli kaoa miaka hiyo

mzee Makamba ni muislam ila alienda kuoa mkristo mwenye kazi yake sababu wanawake wa kiislam walikuwa hawapendi elimu dunia

Majaliwa nae hivyo hivyo akaenda oa mkristo kweye kazi yake.

Kwa miaka ya 90 ama 80 hoja yako ni ya uongo.

Labda useme wale walioolewa enzi za uhuru
 
Unazungumzia viongozi na watu maarufu ambao hawakufika hata 1% ya jamii iliyokuwa ikinizunguka. Katika jamii niliyokuwepo aina ya wanawake uliyoitaja ndio ilikuwa na demand ndogo zaidi kwenye soko la ndoa. Miaka niliyoirefer wengi walitoka mijini kuja kufata wake wa maana nyumbani kwao.
 
Unashindwa kuhonga hata ndugu Yao mmoja mlevi au hata mshenga mchangamfu kukutonya/kukufanyia research ?
Tatizo kwa Watanzania linaanzia hapa, yaani mambo ambayo serious tunaachia bahati/chance; unashindwa kutenga bajeti ya laki moja unakuja kuchoma mamilioni huko mbele unnecessarily
Mkuu siyo rahisi kama unavyoeleza. Nadhani suluhu ya haya yote ni Kataa Ndoa.
 
Ni kizazi kinachoamini katika kusaidiana kwenye kuleta kipato cha kutunza familia.
Hapa tunaonewa, mazingira sahizi katika kaya nyingi hayaruhusu kabisa kipato kimoja kutosheleza mahitaji ya familia na kama tunakuwa wawazi it's all by design, mwanamke katolewa nyumbani kapelekwa kazini hivyo ujira wa mwanaume haujakuwa kama ilivyotakiwa kwasababu soko la ajira lina takribani mara mbili ya watu wa awali waliokuwa wanahitaji kazi (alikuwepo mme tu sahizi na wife kaingia kazini)
Mnavyosema kizazi kina amini katika kusaidiana siyo kwamba wanapenda ila uchumi ndio ulivyokusudia iwe (waislamu nao kizazi hichi kuoa wake wawili ni ndoto za alinacha)
 
Hii niliambiwa na mchaga mmoja. Kuna wakati unakuwa kwenye mahusiano na mtu na unakuta mambo yako yananyooka sana hata Kama ni kazini au biashara, na Kuna wakati unakuta una mahusiano na mdada lakini Kila kitu kinafail, akili kichwani mtu wangu.

Mataokeo yake, Mtu anakuwa ameoa lakini anaamua kumtafta yule mtu alikuwa akiwa naye mambo yananyooka, anamuoa hata kwa Siri Siri kwa namna yeyote ili tu amuweke karibu na mambo yake yaende.

Ili usifike huko, pamoja na yote, angalia sana aina ya mtu unayeingia naye kwenye ndoa, Kama nyota zinasomana na je anaweza kusupport ndoto zako? Kama sivyo uwe na uhakika unatafta niagieni ya mapema.

Mwisho: Apataye Mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kutoka kwa Bwana.
 
Hapa tunaonewa, mazingira sahizi katika kaya nyingi hayaruhusu kabisa kipato kimoja kutosheleza mahitaji ya familia na kama tunakuwa wawazi it's all by design, mwanamke katolewa nyumbani kapelekwa kazini hivyo ujira wa mwanaume haujakuwa kama ilivyotakiwa kwasababu soko la ajira lina takribani mara mbili ya watu wa awali waliokuwa wanahitaji kazi (alikuwepo mme tu sahizi na wife kaingia kazini)
Mnavyosema kizazi kina amini katika kusaidiana siyo kwamba wanapenda ila uchumi ndio ulivyokusudia iwe (waislamu nao kizazi hichi kuoa wake wawili ni ndoto za alinacha)
Kwani sisi tuli/nawezaje kuprovide for our families, kuanzisha biashara za familia ambazo wake zetu wanazisimamia tena tumefanya struggle man-alone bila kutumia hata Tsh 1 ya mwanamke kama cash injection kwenye hayo yote.

Msijifiche kwenye kivuli cha mazingira ya usasa kukimbia majukumu vijana. Palipokosewa ni kwenye msingi wa malezi tu na sio vinginevyo. Vijana wengi wa kiume hawaandaliwi vyema kuwa responsible husbands and fathers to their wives and families.
 
Back
Top Bottom