TAHADHARI! Kama unategemea kununua Kirikuu/ Suzuki carry Soma hapa

Hongera kwa maelezo mazuri
Una uandishi mzuri hauchoshi wala hauboi
Nimejikuta nimesoma andiko lote

Umenichekesha tu kwamba ukifunga mziki ni kama uko ndani ya spika[emoji23]

Wewe ni comedian pia
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nashukuru sana kwa maelezo hayo nilikuwa na mashaka kuhusu Suzuki Carry kumbe shida imetokana na overloading na misoto mingine lakini otherwise gari ni nzuri na imara ni matunzo tu, asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…