Tahadhari kubwa kwa wafanyabiashara na wajasiriamali ( Tanzania)

Tahadhari kubwa kwa wafanyabiashara na wajasiriamali ( Tanzania)

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
282
Reaction score
275
Taa ya hatari imeanza kuwaka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wa Tanzania
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara, ( wakubwa na wadogo) wanafanya biashara
Kienyeji na kikubahatisha wanafanya biashara kama mchezo wa bahati nasibu kupata
Kukosa lakini siku sio nyingi mambo na hali itabadilika na kubadili mfumo wote wa kibiashara
Hapa Tanzania.


Kwa kuanza kwa sasa watanzaia wengi wanapata hamasa na hamu ya kuwa wafanyabiashara
Au wajasiriamali kwa inspiration kutoka nchi za nje, kutoka kwa wajasiriamali wakubwa , kutoka
Kutoka katika vitabu vya waandishi wa nje ambao huelezea hali ya biashara au ujasiriamali kwa
Kiwango na uwezo wa sehemu walipo na kwa mjasiriamali wa kawaida akisoma au kutumi mbinu zile
Zinaweza msaidia sababu kwa kipindi hicho vitu alivyovisoma sehemu anakovitumia havijulikani hivyo
Hata akikosea au kipatia hakuna atakaetambua,hiyo ndiyo hali iliyokuwepo kwa Tanzania ya zamani lakini
Kwa sasa hali inabadilika tena sana.


bonyeza hapa chini kwa muendelezo wa uzi huu
Elisha Chuma: Tahadhari kwa wafanyabiashara na wajasiriamali
 
Back
Top Bottom