Uchaguzi 2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

Huu ujinga na ufirauni ni dharau kubwa kwa Watanzania.
Dunia ya sasa ina technology, idadi kubwa ya watu na vyombo vingi vya Habari, kama kuna wizi wowote utaonekana kama sasa ivi unavyoonekana.
 
ccm chini ya mwenyekiti wao wanajinadi kwa waliyoyafanya ktk hii miaka 5,miaka 5 hio mwenyekiti wako kazunguka sehemu mbalimbali hapa nchini akipiga kampeni huku upinzani ukifumbwa mdomo.......je nini kimetokea hadi uchaguzi huru na haki kwao hawataki na imekuwa ni mwiba kwao? ndio haya sasa tunasikia uwepo wa vituo hewa,whats wrong with them
 
Magufuli must go!
Maonevu imetosha
 
Kuna za ziada.ni mwendo wa hujuma tu
Matokeo yakitoka ccm imeshinda mjinga ndo atakubali.
 
Malalamiko FC! Mmeshajua mmeshindwa sasa mnatafuta sababu tu za kijinga!
 
Utakuta kituo cha wapiga kura 500 ina vituo (a-f )au (1-7) hii ina maana gani
 
Mmeanza kutafutapakutokea maana spana za jpm kila kona wananchi wanawataka ccm tu
Fuvu lako limejaa kamasi tupu humo wewe na ukoo wako ndio mwaitaka make mwanufaika nayo shame on you
 
Mshaanza kupaparika kama bisi kwenye kikaango. Huyo huyo mgombea wenu sijui tundu la wap statute shughuli nyengine ya kufanya. Hii baada ya tar 28 kupita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…