Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwe mnajadili hoja kwa hoja!Kwa style hii ndio maana vijana wa lumumba mnadharaulika sana!Mmeanza kutafutapakutokea maana spana za jpm kila kona wananchi wanawataka ccm tu
Kumbe ndio maana walikuwa wanakomaa kuengue wagombea wa CDM. Walitaka watumie Majimbo waliyoengua wagombea wa Upinzani kama kichaka cha kupitishwa wapiga Kura Feki.
Watatoka Kwa Nguvu ya Umma tu mana kamwe hawawezi kutenegeneza Tume Huru wala Katiba Mpya kwani wanajua ndio kihama Chao.Kitatoka ikiwa kutakuwa na tume huru.matokeo tayari yanajulikana.wamecheza rafu
Ni mjinga tu ndo atayakubali
Raia waelekezwe hivyo vituo hewa vipigwe moto haraka sana. Hata kama kiko nyumbani kwa mtu, ipigwe moto haraka! Kulialia hakutatusaidia!Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/ Bubu/ Hewa.
Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/ Bubu/ Hewa ukawa ni bahati mbaya.
Ikumbukwe kwamba uwepo wa Vituo FEKI/HEWA/BUBU ni kiashiria Kikuu cha KUWEPO Kwa Kura FEKI sehemu (in the form of hard copy or soft copy). Hivyo kudhibiti vituo FEKI ni kudhibiti Kura FEKI na ushindi FEKI.
Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Naam kumbuka kutembelea kituo cha kuwekea Petroli kawasalimieRaia waelekezwe hivyo vituo hewa vipigwe moto haraka sana. Hata kama kiko nyumbani kwa mtu, ipigwe moto haraka! Kulialia hakutatusaidia!
Tuna awamu ya hovyo sana.Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/ Bubu/ Hewa.
Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/ Bubu/ Hewa ukawa ni bahati mbaya.
Ikumbukwe kwamba uwepo wa Vituo FEKI/HEWA/BUBU ni kiashiria Kikuu cha KUWEPO Kwa Kura FEKI sehemu (in the form of hard copy or soft copy). Hivyo kudhibiti vituo FEKI ni kudhibiti Kura FEKI na ushindi FEKI.
Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono
Kabisa ccm wanacheza mchezo mchafu kwa kutumia NEC tusikubali.Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/ Bubu/ Hewa.
Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/ Bubu/ Hewa ukawa ni bahati mbaya.
Ikumbukwe kwamba uwepo wa Vituo FEKI/HEWA/BUBU ni kiashiria Kikuu cha KUWEPO Kwa Kura FEKI sehemu (in the form of hard copy or soft copy). Hivyo kudhibiti vituo FEKI ni kudhibiti Kura FEKI na ushindi FEKI.
Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Makamanda sababu kama hizi haziwezi kuisaidia Chadema. Tutumie akili hata kama tumeshindwa.Ujumbe huu umfikie kila mtu
Utapigika mpaka unye.Mwaka huu hatusikilizi uhuni.. lazima tulinde kura
Any dirty trick should be mercilessly dealt with loudly. NEC are all out for ghost voters and fake polling stations to ensure CCM's victory.Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/ Bubu/ Hewa.
Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/ Bubu/ Hewa ukawa ni bahati mbaya.
Ikumbukwe kwamba uwepo wa Vituo FEKI/HEWA/BUBU ni kiashiria Kikuu cha KUWEPO Kwa Kura FEKI sehemu (in the form of hard copy or soft copy). Hivyo kudhibiti vituo FEKI ni kudhibiti Kura FEKI na ushindi FEKI.
Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
The crazy ones are back in action.Huo uwongo wenu wa chadema mwisho wenu ni October
Hawa watu wamefika mahala dhamira haziwasuti hata kidogo. Wamezoea kutenda madhambi. Ni kipigo tu ndicho kitakachowashitua. Let's vote in masses.Hakuna raha Kama ukiwa KIONGOZI ulie chaguliwa ki halali na watu.....
Rigging election results,
Ni kitu kibaya Sana lazima utaongoza
Nchi kwa visasi na Hautakua na furaha Wala AMANI ya Nafsi
maana unajua fika haukua chaguo la watu...
You are really a tired warrior. A camouflaged CCM zealot.Makamanda sababu kama hizi haziwezi kuisaidia Chadema. Tutumie akili hata kama tumeshindwa.
Ninashindwa kuelewa mantiki/logic ya mpiga kura akikosea anapewa karatasi ya kupigia kura nyingine, kutumia vitambulisho mbadala ie.vitambulisho vya NIDA/leseni ya udreva/passport. Ndiyo sababu wapiga kura wengine wanasema ballot paper zimechapishwa hapahapa nchini kwa 7bu zingechapishiwa nje ya nchi gharama zingetisha, (dola za Marekani) hivyo ballot papers zingekuwa kwa idadi ya wapiga kura tu...ie mpigakura mmoja ballot paper moja.Binafsi mie ni mpiga kura tangu uongozi wa Mwl Nyerere ila sijawahi ona kura ukiharibu unarudia. Halikadhalika kitambulisho cha mpigakura ndio pekee huwa kinatumika .Acha na vituo feki...kuna mzigo haswa wa kura feki..mzigo wa kutosha..yani unakuta mzigo una kartasi kama laki mbili yana tiki za çcm..huu wameshauandaa kureplace kura za upinzani.
Na Wana mabohari yao wanahifadhi ndo maana NEC wanazuia watu kulinda kura ili wafanye vema madudu yao.
Uchaguzi huu muhujumu wa kwanza ni Nec! Wakifuatia wagombea.
NEC wameruhusu rafu,wameruhusu hujuma.wamenunuliwa.