Uchaguzi 2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

Uchaguzi 2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa Chadema Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.

Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/Bubu/Hewa.

Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa ukawa ni bahati mbaya.

Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono[emoji1536][emoji1536][emoji1534][emoji1548][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wameshashinda kinachofanyika sasa ni kumalizia zile kura million 7 Tanzania iwe ya kijani. Upo???
POVU ruksa😂😂😂😂
Avatar yako inakuonyesha Kama mtoto makini.. Kwa nini usiokoke, utubu dhambi ya kushabikia uovu, uungane na wananchi walio wengi, uachane na hao wezi?!

Hata aibu kdg huna?
 
Hii ni aibu kwa tume ya uchaguzi hivi wanajisikiaje kuhusu huu uchafu unaoendelea!! Kwanini wasijiuzulu??
Kwa Mambo ambayo Tume imeyafanya toka mchakato huu wa Uchaguzi Umeanza ni dhahiri kuwa viongozi wa TUME hawana aibu, soni wala busara.
 
Tukumbuke wasimamizi wa vituo vya kupigia kura ambao wengi ni watumishi wa umma (walimu, manesi, maafisa kilimo na mifugo, madaktari, watendaji vijiji na mitaa nk nk )wana maelekezo maalumu ya namna ya kufanikisha zoezi hilo la wizi wa kura ili kumshindisha Magufuli.

Hawa watumishi wametishiwa kufukuzwa kazi iwapo kituo anachosimamia mtumishi yeyote wa umma itaonesha Tundu Lissu (CHADEMA) amemzidi Magufuli (CCM) kwa idadi kura zilizopigwa kituoni hapo..!

Solution ya hili ni kuwadhibiti tu. Yaani iwe toe to toe, face to face ktk kila stage na wakionekana wachezee kichapo cha haja bila kuwaonea haya..
Hawa watumishi kwa jinsi walivosomeshwa namba awamu hii, nadhani akili zimewarudi
 
Na vituo vingine wameanza kusambaziwa masanduku yenye kura zilizopigwa.

View attachment 1609177
Tatizo ni kutengeneza kick.za kipumbavu!! Hiyo ilizunguka muda mrefu leo inaletwa humu. JF inapoteza credibility wakati mwingine sababu ya watu wapumbavu! Kwa akili zako kura zitabebwa ktk mfumo huo? Tena wenyewe mnasema ni feki! Acheni upumbavu mnataka kutuharibia nchi. Haelezi zimetoka wapi au kituo gani na haelezi nani aliyemwambia ni mahindi!

Anaongea mwenyewe mwanzo mwisho. Pia mabox yapo nusu mengine robo, huyo muhusika si angehomola tu akajaza mzigo? Tangu jana ni mwendo wa Chadema kulia lia baada ya kuona mambo yamebuma! Magufuli anashinda kwa kishindo tena kwa kura halali kabisa! Nawashauri mjipange kwa 2025 kwa sasa mmetepeta!!

Queen Esther
 
Kwa jinsi hali halisi inavyoenda ni wazi mambo ni mengi na muda ni mchache sana (siku nne zimebaki).

Kimazoea tunaweza kudhani 28 October ndio mwisho wa shughuli ya uchaguzi lakini ukifumbua jicho la tatu inaonekana ndio utakuwa mwanzo wa uchaguzi mkuu!
Acheni kulialia vitaje! Toka jana mmeanza kulia mkiongozwa na Mkt wenu baada ya kuona hali sio hali. Ni mwendo wa tia maji tia maji.

Nawashauri NEC mtu yeyote atakayewachafua ili kuleta taharuki akishindwa kutoa ushahidi wa tuhuma zake achukuliwe hatua za kisheria.

Queen Esther
 
Amezoea kumwaga damu zisizo na hatia na hataki kuondoka bila kumwaga damu
Hilo lipo na litakuwepo sana, kwa sasa ccm wa tawauwa wa Tanzania wengi mno kipindi hiki na baada ya uchaguzi.
 
Huo uwongo wenu wa chadema mwisho wenu ni October
Uongo gani kaka, hii nchi yetu sote na hakuna siri chini ya mbingu, unajua na tu najua msijitoe akili kisa tu chuki zenu za kujali matumbo yenu baaasi.
 
Tatizo ni kutengeneza kick.za kipumbavu!! Hiyo ilizunguka muda mrefu leo inaletwa humu. JF inapoteza credibility wakati mwingine sababu ya watu wapumbavu! Kwa akili zako kura zitabebwa ktk mfumo huo? Tena wenyewe mnasema ni feki! Acheni upumbavu mnataka kutuharibia nchi. Haelezi zimetoka wapi au kituo gani na haelezi nani aliyemwambia ni mahindi! Anaongea mwenyewe mwanzo mwisho. Pia mabox yapo nusu mengine robo, huyo muhusika si angehomola tu akajaza mzigo? Tangu jana ni mwendo wa Chadema kulia lia baada ya kuona mambo yamebuma! Magufuli anashinda kwa kishindo tena kwa kura halali kabisa! Nawashauri mjipange kwa 2025 kwa sasa mmetepeta!!

Queen Esther
Acha kubweka kama mbwa koko, unaonekana hujui kitu, haya na hii unasemaje...?
👇
IMG_20201023_092012.jpg
 
Mwizi ni mwizi hawezi kuacha hadi mauti. Ccm haiwezi kushinda uchaguzi wowote huru na wa haki ndio maana walipigana kufa na kupona ili kuhakikisha wakurugenzi wanabaki kusimamia uchaguzi.

Baada ya uchaguzi kazi ya kwanza ni kudai tume huru na ni wazi hilo halitawezekana bila nchi hii kuwekewa kiwango fulani cha vikwazo.
 
Ndugu yangu Mimi napenda ukweli, huo ni uzushi tu
Uongo gani kaka, hii nchi yetu sote na hakuna siri chini ya mbingu, unajua na tu najua msijitoe akili kisa tu chuki zenu za kujali matumbo yenu baaasi.
 
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa Chadema Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.

Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/Bubu/Hewa.

Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa ukawa ni bahati mbaya.

Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Hawa tundu lisu mnyika na zito ndio nani huyu?
 
Nec wako sahihi hata kama Lisu angekuwa na jura za kutosha mie ningebariki mbinu zote ili asipate urais
Brother Kama haiwezi na unaona NEC wako sahihi hebu elezea kidogo, NEC Ndio waliompitisha Lissu Kuendelea Kugombea baada ya Chama chake Kumteua Lisu kugombea; Sasa kulikuwa na haja gani ya Kumpitisha?

Lakini Kama wananchi ndio wanaamua nani awe Rais, NEC ni nani hata wapinge? Muhimu ni Haki itendeke, Anayekosa akose kwa haki na anayepata apate kwa Haki pia. Tanzania ina watu wa ajabu sana, kwamba NEC wako sahihi???
 
Madaraka matamu nyie acheni masihara....hivi kweli mnadhani ccm wanaweza kuacha ugali wao uende?

Wapo tayari kufa na kupona ili kulinda ugali wao ndio maana hawaogopi kufanya lolote
 
Yaani ni waoga kupindukia. Alichosema Polepole kuhusu Tume na CCM wakati hajaingia CCM wanakijua na kukiamini kwa dhati. Engua engua wanaona haitoshi. Wanaendelea na faulo hadi mwisho! Nchi hii inahitaji mabadiliko. Haya ni majambazi, siyo viongozi.
Jiwe ametufikisha hapa anaogopa uchaguzi wa haki kuliko hata kumuogopa Mungu.
 
Brother Kama haiwezi na unaona NEC wako sahihi hebu elezea kidogo, NEC Ndio waliompitisha Lissu Kuendelea Kugombea baada ya Chama chake Kumteua Lisu kugombea; Sasa kulikuwa na haja gani ya Kumpitisha?
Lakini Kama wananchi ndio wanaamua nani awe Rais, NEC ni nani hata wapinge? Muhimu ni Haki itendeke, Anayekosa akose kwa haki na anayepata apate kwa Haki pia. Tanzania ina watu wa ajabu sana, kwamba NEC wako sahihi???
Kaka huyu mpumbavu
 
Yes, unasema kweli kabisa..

Ni kweli liko lundo la kura feki na zimeshapigwa tayari zikiwa na tiki (√) kwa mgombea Urais wa CCM - Jiwe..

Huu ndiyo mtindo wa wizi wa CCM katika kila uchaguzi...

Uwepo wa vituo hivi feki (hewa) lengo lake ni kupitishia hizi kura feki..

Zingine zitapitia kwenye vituo hivyo hivyo halali iwapo kituo hakitakuwa na wakala aggressive..

Tukumbuke wasimamizi wa vituo vya kupigia kura ambao wengi ni watumishi wa umma (walimu, manesi, maafisa kilimo na mifugo, madaktari, watendaji vijiji na mitaa nk nk )wana maelekezo maalumu ya namna ya kufanikisha zoezi hilo la wizi wa kura ili kumshindisha Magufuli.

Hawa watumishi wametishiwa kufukuzwa kazi iwapo kituo anachosimamia mtumishi yeyote wa umma itaonesha Tundu Lissu (CHADEMA) amemzidi Magufuli (CCM) kwa idadi kura zilizopigwa kituoni hapo..!

Solution ya hili ni kuwadhibiti tu. Yaani iwe toe to toe, face to face ktk kila stage na wakionekana wachezee kichapo cha haja bila kuwaonea haya..
Halafu ujue mawakala wa CCM ni majeda, nao pia wana maelekezo!
Kiufupi, uchaguzi mkuu huu ni kati ya CHADEMA na muungano wa CCM,NEC,POLISI, SERIKALI,JWTZ na TISS .
 
Back
Top Bottom