Uchaguzi 2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

Mmeanza kutafutapakutokea maana spana za jpm kila kona wananchi wanawataka ccm tu
Unatumia nini kufikiri?? Ni Nani anayetafuta pa Kutokea? Yule anayehangaika kuiba au anayedhibiti wizi? Kumbuka wizi ni uvunjifu wa Sheria so anayeiba ndio anatapatapa mana anajua asipoiba hashindi. Au wewe akili yako inakuelekezaje??
 
Acha na vituo feki...kuna mzigo haswa wa kura feki..mzigo wa kutosha..yani unakuta mzigo una kartasi kama laki mbili yana tiki za çcm..huu wameshauandaa kureplace kura za upinzani..
Na Wana mabohari yao wanahifadhi ndo maana NEC wanazuia watu kulinda kura ili wafanye vema madudu yao.

Uchaguzi huu muhujumu wa kwanza ni Nec! Wakifuatia wagombea
NEC wameruhusu rafu,wameruhusu hujuma.wamenunuliwa.
Mwaka huu tanawadhibiti hawa matapeli, hawatoboi
 
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa Chadema Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.

Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/Bubu/Hewa.

Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa ukawa ni bahati mbaya.

Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Hili zoezi lifanyike nchi nzima sehemu zote. Wanachama na viongozi wahakiki na kufuatilia uhalali na uwepo wa vituo vya uchaguzi nchi nzima. Na vituo vyote hewa na idadi ya wapiga kura hewa iorodheshwe na kuweka wazi.

Mtoto hatumwi dukani mwaka huu. It’s do or die.
 
Na vituo vingine wameanza kusambaziwa masanduku yenye kura zilizopigwa.

View attachment 1609177
Doooh aisee hii ni FEDHEHA kubwa Sana Kwa Taifa letu na DHIHAKA Kwa Watanzania.

Yani nchi imetumia zaidi ya Bilioni 350 kuratibu Uchaguzi halafu Siku ya Mwisho wanafanya utoto kama huu.

Vyama vya Upinzani waunganishe nguvu kuijulisha dunia udhalimu huu mana kumbe tupo chini ya Utawala wa Kikoloni mana inaonekana hatuna tena namna ya kisheria/rasmi ya kuwatoa madarakani wakoloni hawa weusi.
 
Kwa hiyo wananchi hawana haki ya kuchagua, ila kikundi kidogo cha ccm ndo chenye haki?!
Hata marekani wanachi wanachagua ila kikundi cha watu wasiozidi 400 wanapiga chini matakwa ya mamilioni ya wananchi. Yote hii ni kwa maslahi ya nchi.
 
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa Chadema Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.

Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/Bubu/Hewa.

Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa ukawa ni bahati mbaya.

Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Tume ya Uchaguzi, CCM, na polisi, amani ya nchi hii iko mikononi mwenu. Kikinuka, Siro, Magumashi na wenzako mjiandae
 
Mkishinda tambo nyiiingii,mkishindwa visingizio viiingiii
 
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa Chadema Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.

Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho kinachodhaniwa kuwa ni Kituo Feki/Bubu/Hewa.

Hali hii ya uwepo wa Vituo Feki/Bubu/Hewa huenda ipo nchi nzima. Hivyo ni muhimu wagombea wote hasa wa Upinzani wahakiki idadi na namba za utambulisho wa kila Kituo cha Kupigia Kura katika maeneo Yao Ili kudhibiti udanganyifu wa Aina hii. Katika mazingira ya sasa, haiwezekani uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa ukawa ni bahati mbaya.

Tundu Lissu, Mnyika na Zitto wahimizeni wagombea na viongozi wenu nchi nzima kuhakiki na kubaini Vituo Feki/Bubu/Hewa Ili kuzuia goli la Mkono.
Naunga mkono hoja Chadema/ACT wawekeze kwenye kuhakiki wapiga kura feki na vituo feki ,Mawakala wapewe elimu kwamba kila mpiga kura anayeiingia kwenye kituo waangalie picha ya kitambulisho kama anafanana na mpiga kura ,akiwa tofauti aweke pingamizi.

Wapiga kura feki wengi wanapewa vitambulisho feki mbao ndio wanaoenda kupiga kura feki na kuwapa CCM.
 
Mwenye hii video aipandishie uzi unaojitegemea kabisa. Hii hujuma haitakiwi kuwa sehemu ya comments. Inatakiwa iwe ni uzi unaojitegemea ili watanzania na dunia waone huu uhuni.
Ni kweli kabisa, naunga Mkono hoja hii. Na tupate tukio kamili mana hapa haielezei ni Wapi, Lini na Mwaka gani.
 
Back
Top Bottom