TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Wakuu,

Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:

Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.

Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).

Nisisitize, KUWENI MAKINI NA MATAPELI!

Kufanya kazi na mtu humu nafuata taratibu zipi nataka kufanya marekebisho ya site yangu
 
Jiheshimu! Kama yalishakukuta eleza.
Teh tehee teehee,watu wengine bhana,wagomvi sana,utatakaje mtu ajielezee wakati ana machungu?,jitambue aseh!! Katika ulimwengu huu wa teknolojia yoyote anaweza kuibiwa,nitashukuru sana, thread maalumu ikianzishwa humu kwa ajili ya hilo.
 
ni ruksa pia kwa mwenye machungu kujielezea mkuu
 
Back
Top Bottom