Tahadhari: Kuwekuwa na wimbi za link za video za Ngono Facebook, ukibonyeza tu video zinapakuliwa kupitia ukurasa wako

Hizo ni malicious link kitaalamu kwenye Cyber security zinaitwa phishing

Ni link ambazo uki click tu basi login info zote zinatumwa kwa huyo mtu aliye generate hiyo link.

Baada ya muda unashangaa ukifungua FB unaambiwa log in, ukiweka Password yako inakataa, unajaribu ku request new password unashangaa email ambayo inapokea OTP sio yako.

Baada ya siku chache utakuta jamaa kabadilisha jina la account yako anaitumia kwenye mambo yake.

Mnashauriwa kuweka 2FA verification hiyo inasaidia sana
 
Mzee wangu mtandao ya kijamii inakuletea kitu unachokiwaza akilini kwako yaan searching mashine yako inaipa taarfa Searching mashine ya hyo mitandao.

Huwez letewa kitu ambacho hukifatilii na kukipenda.
Mkuu acha utani basi.
 
Walikuwa hacked majuzi hapa labda ndipo minyoo ilipowaingia
 
Kubonyeza link hakuwezi kufanya video zijipost kwenye akaunti yako. Kitakachofanya video zipostiwe ni wewe kuwapa Email na password yako wale hackers kwa kudhani unaingia FACEBOOK kumbe unawaandikia email NA password. Hii kitaalamu inaitwa phishing. So ukibofya link ukaona kama login page ya Facebook usijaribu kuweka email na password yako.
 
Huwezi kuzuia may be uzuie tag wasikutag lakin hata iyo haisaidii maana utaziona kwa friend wengine hazikwepeki
 
uko sahihi kabisa.
 
Mzee wangu mtandao ya kijamii inakuletea kitu unachokiwaza akilini kwako yaan searching mashine yako inaipa taarfa Searching mashine ya hyo mitandao.

Huwez letewa kitu ambacho hukifatilii na kukipenda.
ni kwel ila kwa ishu hii hata kama uku search chochote zitakuja kupitia friend wako utaona mshedede upo kweny kitumbua
 
Mimi napita tu
Naona hadi marafiki wa karibu wamekumbwa na hii kadhia ya kuhackiwa account zao
Sahv zinapost pilau kwa kwenda front
sio poa elimu inahitajika sana juu ya ishu izi za link
 
Hivi bado kuna watu wanatumiaga Facebook!!!! Ngashtuka 😱

Mimi kwanza kigezo changu cha kwanza cha kumtambua mtu mshamba ni Facebook, na sijui kwanini. Yani Nikikutana tu na mtu yupo anaperuzi Facebook najua wazi huyu ni mshamba huyu.
 
natumia FB since 2009 na sitoacha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…