kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Pita tu kimya kimya usiangalie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha utani basi.Mzee wangu mtandao ya kijamii inakuletea kitu unachokiwaza akilini kwako yaan searching mashine yako inaipa taarfa Searching mashine ya hyo mitandao.
Huwez letewa kitu ambacho hukifatilii na kukipenda.
Walikuwa hacked majuzi hapa labda ndipo minyoo ilipowaingiaNaomba kuwataka watu au Raia wa Facebook kuweka umakini na (links) zenye maudhui ya ngono, kwani viungo (links) hizo zimepelekea wengi kupoteza Umiliki wa account Zao huku zikionekana kuchapisha video za ngono.
Hatua hiyo tunaweza kusema “Utakua sio wewe umesambaza link za ngono Lakini tutajuwa zumuni lako ilikuwa Kuona video za ngono.
Hili suala la siku hizi la akaunti yako kuonekana imesambaza picha za utupu, ni kwamba uliona link ya video hiyo, kwa njaa na kiu ya kutaka kuiangilia, ukabonyeza link uone yaliyomo, hapo ndo unapelekwa kwenye tovuti nyingine inayofanana Facebook, ila sio Facebook, na automatocally video inasambazwa kupitia akaunti yako, bila kuwa kwenye profaili yako.
Tukiona imesambazwa, tutajua sio wewe, ila tutajua uliclick link.
Hizi kitu zinatia aibu sana, ikiwa wewe unafuatilia pornografia kwa siri download kwa siri, angalia kwa siri, na uvute kwa siri.
Hiyo kiu ukija nayo huku na presha ya kubonyeza viambatanisho ovyo, yatakufika hapa, utaaibika.
Nazungumzia ili suala la siku hizi, ni tofauti sana na lile la kudukuliwa na kuibiwa akaunti yako.
Hili ni kiu ya kuona video Chafu, Presha ya ku click.
Kuhusu Video za ngono Facebook..!
kama ulivyosema kuwa kumekuwa na muendelezo wa watu kuwa tagged au kujikuta wanaonekana wametuma video chafu kwenye mtandao wa Facebook kwa siku za karibuni.
Shukrani sana Maonobinafsi kwa kuleta Awareness ya jinsi swala hili linavyotokea
Sasa ili kuepuka kuwa tagged kwa video au picha chafu, au kuonekana umepost Picha hizo fanya yafuatayo:
Ingia kwenye Settings ya Facebook Account yako kisha nenda Audience and Visibility halafu nenda Profle and Tagging.
Ukishafika hapo Profile and Tagging utakuta kuna machaguo mawili la kwanza linahusu Viewing and Sharing. Kwenye "Who can post on your profile"
chagua "Only Me" vivyo hivyo kwenye
'Who can see what others post on your profile" chagua 'Only Me,'
Pia, kwenye Tagging lile chaguo la kwanza lililoandikwa, "Who can see posts
you're tagged in on your profile"chagua "Only Me"
Aidha, pale kwenye option ya "When you're tagged in a post, who do you want to add to the audience of the post if they can't already see it" hapo
chagua "only Me."
Shukrani sana
😂😂😂🤭Ila wapenda ngono wameaibika sana safari hii😂😂
Mtoboa Matundu, Dume la mende fb bhana😀😀😀Hapo haujakutana na akina Aisha Miuno, Msafisha mitaro. Facebook imekuwa kama pango la wahuni
Huwezi kuzuia may be uzuie tag wasikutag lakin hata iyo haisaidii maana utaziona kwa friend wengine hazikwepekiAisee wadau siku za hivi karibuni kwenye mtandao wa Facebook kila ukiingia unakutana na mapicha machafu ya ngono, mara ya kwanza yalianza mdogo mdogo lakini kadiri siku zinavyo enda ndo inavyo zidi ,yaani sasa hivi ukifungua fb kati ya post 10 basi post nne ni za hayo mapicha.
Kiufupi yananikera sana na nimesha shindwa namna ya uyaondoa,je hili tatizo lipo kwangu tu au na wengine linawakumba na mmelitatuaje?
uko sahihi kabisa.Kubonyeza link hakuwezi kufanya video zijipost kwenye akaunti yako. Kitakachofanya video zipostiwe ni wewe kuwapa Email na password yako wale hackers kwa kudhani unaingia FACEBOOK kumbe unawaandikia email NA password. Hii kitaalamu inaitwa phishing. So ukibofya link ukaona kama login page ya Facebook usijaribu kuweka email na password yako.
ni kwel ila kwa ishu hii hata kama uku search chochote zitakuja kupitia friend wako utaona mshedede upo kweny kitumbuaMzee wangu mtandao ya kijamii inakuletea kitu unachokiwaza akilini kwako yaan searching mashine yako inaipa taarfa Searching mashine ya hyo mitandao.
Huwez letewa kitu ambacho hukifatilii na kukipenda.
natumia FB since 2009 na sitoacha,Hivi bado kuna watu wanatumiaga Facebook!!!! Ngashtuka 😱
Mimi kwanza kigezo changu cha kwanza cha kumtambua mtu mshamba ni Facebook, na sijui kwanini. Yani Nikikutana tu na mtu yupo anaperuzi Facebook najua wazi huyu ni mshamba huyu.
Ni sawa, lakini nimeshatoa ufafanuzi wangu hapo juu kwenye comment #61natumia FB since 2009 na sitoacha,