Mungu alishamaliza kazi yake na alipumzika kabisa. Kaweka dhamira/busara ndani yetu, kiburi kipo pia ndani yetu. Inategemea unatumia nini hapo kati ya busara au kiburi. Palestina walikuwa wakipiga kelele Allah Akbar, lakini waliendelea kuadhibiwa mpaka malengo ya mzayuni yalipotimia.Mmmh mbona mnatuogopesha sasa Mungu tuepushe na haya yote Amina
For those who knows, wanajua kabisa hao mabwana ndio mpango wao. Sasa serikali ikendelee kukaza fuvuHatimaye Kagame na Museveni wameifikia Tanzania. May God help us all 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ukweli TISS vijana kazi inafanyika Sana taarifa zinakusanywa za kutosha na kuchakatwa kwa kiwango kikubwa ila walaji wa taarifa ndio hawawezi kufanya maamuzi wapo wapo tu wapumbavu.Tuliandika report nyingi sana ila zinapuuzwa na hazifanyiwi kazi kabisaa
Kiukweli mpaka hakuna mtu atajisumbua kuandaa report halisi kwa kile anachokiona na kusikia watu wamevunjika moyo vibaya sana 😭😭😢😢😢😢Ukweli TISS vijana kazi inafanyika Sana taarifa zinakusanywa za kutosha na kuchakatwa kwa kiwango kikubwa ila walaji wa taarifa ndio hawawezi kufanya maamuzi wapo wapo tu wapumbavu.
Hii report ya mtoa mada ipo mezani Ikulu toka mwaka 2011 lakini they saw it coming lakini wanashupaza shingo tu.
Nchi hii inahitaji haki tu hasira za Watanzania zimeanza mwaka 2010 baada ya uchaguzi na sababu kuu
Ni haki
Uwajibikaji
Ufisadi
Utekaji
Uhuru wa vyombo vya habari
Sasa hasira zote zitahitimishwa mwaka huu!!
Anachokisema mtoa mada ndicho kitakachotokea
Lilikuwa kosa kubwa sana Samia kuingiza watu kutoka Zanzibar,Uganda na Zimbabwe kuja kuua watanganyika.
Hii lazima alipe Samia na genge lake.
Hakuna Muislamu wala Mkristo mwenye nia ya kumdhuru mwenzake. Kama maandamano yatatokea yatakuwa ni mwendelezo wa kilichotokea Oct 29.
Hakuna mtu alikua anajali kuhusu dini ya mwenzake, sio waandamanaji sio wauaji.
Samia hayupo yeye kama yeye. Yule ni taasisi kuanzia JWTZ, TISS n.k kapachika watu. Kwahiyo kumalizana nae sio suala la kumkabili yeye mwenyewe individual kama unavyomtandika makofi mkeoyote haya ya nini, Watu wamalizane na Samia tu basi patatulia tulii
!
Samia hayupo yeye kama yeye. Yule ni taasisi kuanzia JWTZ, TISS n.k kapachika watu. Kwahiyo kumalizana nae sio suala la kumkabili yeye mwenyewe individual kama unavyomgandika makofi mkeoyote haya ya nini, Watu wamalizane na Samia tu basi patatulia tulii
!
Upo sahihi kuna mikoa itakuwa nchi very soon!Kuna mkoa wa geita au kanda ya ziwa inaweza kuwa nchi na kuwa na msimamo wake,kuna kanda ya kusini nayo inaweza kujigawa .Tukisema sana tunawapa wajinga kujua