Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.

Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.

Kwenye ulimwengu usioonekana kuna taarifa tuliyonayo na pia mmoja wenu anajua ni kwamba tarehe 9 sio tu kwamba yatafanyika maandamano makubwa, lakini kuna wauaji waliopandikizwa na wanamtandao kwa lengo la kufanya mauaji makubwa zaidi dhidi ya watanganyika na hasa vijana wa kikristo. ( kwa lengo maalum)

Kuna watanganyika watajibu kwa kuua wazanzibari walioko Tanganyika. Kuna waislamu watajibu kwa kuua wakristo. Kuna makanisa na misikiti itachomwa moto.

Kuna wahuni wataona fursa na kuanza kuua ovyo, kubaka, kupora mali za watu na wahuni hao watatoka kila kona kuanzia uraiani, majeshini, magerezani na kila kona.

Kule Zanzibar watanganyika watasakwa wauawe na wao wataanza kujitetea.

Kuna kikao kiliwahi kufanyika hapo awali ndani ya nchi A cha lengo la kuidhoofisha nchi ili kupora rasilimali.

Kuna nchi B na nchi C zitaingia kwa haraka Tanganyika na makomando wasio na sare ili kuua askari polisi kwa niaba ya raia lakini kwa lengo la kuharibu uimara wa ulinzi wa Taifa.

Jeshi litagawanyika kabisa. Kuna vikosi vya anga vya nchi jirani bila kujitambulisha vitaingia na kuharibu maeneo yote nyeti ikiwemo Ikulu za Dar na Dodoma, miradi yote mikubwa n.k. Silaha kinga tulizonunua wakati ule wa Col J hazitafanya kazi kuzuia.

Watanzania watatamani kukimbilia Sudan maana itakuwa ni bora kuliko yanayokwenda kutokea wiki chache zijazo.

Watakaoathirika kwa kiasi kikubwa sana ni watoto, wanawake, walemavu, wagonjwa na wanyonge wengine. Wengi watakimbia nchi. Wanaume wengi watauawa na wakati mwingine bila hata hatia.

Hakuna atakayekuwa salama, iwe komando au raia, mkristo au muislamu, mnyonge au mbabe, mbunge au mpiga debe.

Ziko nchi za karibu na za mbali zimejipanga kutumia hilo kama fursa kwao.

Wahuni watapanga kukimbilia nchi A na familia zao kama walivyoahidiwa lakini baadhi yao na hasa namba 1 na watu wake wa karibu hawataweza na watakamatwa na wakora na kufanyiwa ukatili utakaoweka rekodi ya kidunia tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Kuna watu wa karibu sana na namba 1, anawaamini sana. WATAMGEUKA kwa kiwango cha nyota saba.

Lengo la nchi A ni kushirikiana na nchi X na mpinzani wake nchi Y ili Tanzania ikishakuwa tepetepe kuliko DRC na Sudan basi wafanye kuchota rasilimali kama kulamba asali kwa kijiko.

Wakati huo majeshi yatakuwa yamedhoofishwa na mgawanyiko mkubwa na hivyo kundi kubwa litageuka kuwa waasi kwa maslahi ya taifa na lingine kwa maslahi binafsi.

Kuepuka haya yote, NINI KIFANYIKE!?

1. TUBUNI. Hapa muwaulize masheikh(sio maseikh ubwabwa) na wachungaji (sio kina Mwampesa) ili mjue kutubu maana yake ni nini.
2. Maamuzi magumu kwamba bora kuiokoa Tanzania kuliko kung'ang'ania madaraka..( Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya jambo la kishujaa enzi akiwa waziri wa mambo ya ndani)
3. Kuacha mara moja kuwachukulia watanzania wote kwa ujumla wao kama watoto wadogo wa kudanganywa na peremende. Eti maridhiano, tuache huo ugoro.
4. Humprey Polepole, Tundu Lissu, Mdude Nyagali, wote waliobambikiwa kesi za uhaini, wote waliobambikiwa kesi za kisiasa.. waachiwe MARA MOJA.
5. Madai ya Gen Z kwenye barua yao na madai ya raia wengineo yatekelezwe, ikiwemo katiba mpya, uchaguzi urudiwe, fidia kwa wahanga wa mauaji na madhara mengineyo katika uchaguzi haramu wa 29 Oktoba, pamoja na uwajibishwaji na uwajibikaji wa wahusika wote.
6. Serikali ya mpito inahitajika haraka kuongoza mapambano ya kulikomboa taifa, serikali ambayo itaaminiwa na wananchi wote. Hii iliyojipa madaraka haiaminiki.
7. Lengo liwe moja kwa pande zote. KULIKOMBOA TAIFA. Na sio kuonyeshana ubabe.

Je tunataka kuokoa taifa letu au tunataka kufa na vyeo vyetu na sifa zetu na viburi vyetu na kuifuta kabisa Tanzania kwenye uso wa ramani ya dunia?

TAFADHALI KAMATI, 9D Tuiepuke kwa gharama yeyote. Kuua raia, kuwatisha, kubambika kesi, kuteka wapinzani na yanayofanana na hayo ni kuongezea petroli kwenye moto wa 9D.

Nimeyaona hayo kwenye ulimwengu usioonekana. SIYAPENDI, SIYATAKI, SIYASHABIKII. Ningeweza kuyazuia ningeyazuia. NIMEYALETA KWENU kwa kuwa HILI NI LENU.
Anguko la Tanzania mbona lipo wazi tu kama nyeti za kuku, haitaji rocket science kuona jambo Hilo.
Muda utaongea.
 
Matakko yako,unapandikiza mbegu ya udini na faraka kwenye nchi!!?
 
Ndiyo kitu wanachopenda Diaspora kukisikia hiki nchi yao ikiwa haina amani na imechafuka

Njia ya mwisho umeisahau ya kuyaepuka hayo ni kutofanya maandamano yasiyo ya amani maana ndiyo kitakuwa chanzo cha hayo yote uliyoyamention kutokea
 
Hivi kwanini watu walioko Tiss na JWTZ hasa wazalendo wasifike mahali waamue kwa mstakabali wa taifa. Ni kweli huenda wanalipwa vizuri sana na pengine hata visivyostahili lakini haki kwa taifa ni ya muhimu sana.

Wekeni kando hii serikali haramu maana haina ithibati ya kuongoza na walivyotuua ni kama ndiyo wamejiharibia zaidi.

Taifa hata yasipokuwepo maandamano ya 9D litarudi nyuma sana kwasababu watu kwa asilimia kubwa sana hawaukubali huu uongozi na hata wao hawana Imani na sisi kwahiyo kila upande utafanya kinyume na kinachotakiwa.

Oya wanajeshi acheni uboya chukueni nchi muitengenezee mstakabali kwa vizazi vijavyo maana nyinyi ndiyo wazalendo namba moja kwa nchi.
 
Wanajeshi wanauzalendo Gani tumia akili mzalendo namba Moja tanzania ni mwananchi ambae aliipambania nchi akiwa Hana silaha Kwa siku 6 na kufa huku jeshi unaloliita wazalendo likimuangalia mwananchi akikata roho Kwa kuuwawa na vikosi vya Uganda polisi wa tanzania na kmkm wa Zanzibar kwahiyo jwtz uzalendo 0%
 
Nimesema hivyo coz sisi hata tukiandamana bado wao ndo watatakiwa kuchukua nchi na kutengeneza utaratibu. Kuhusu uzalendo pamoja na sisi raia wa kawaida kuwa wazalendo lakini wajeshi wana mafunzo maalum ya kuilinda nchi lakini pia viapo vyoa vina neno uzalendo ndani yake, wanapoenda kinyume na viapo vyoa inatuumiza sana na ndiyo hayo ya kuuawa na watu kutoka nje ya mipaka ya nchi yetuyanatokea. Lakini pia walidharauliwa sana na amiri jeshi mkuu wao.
 
Samia hayupo yeye kama yeye. Yule ni taasisi kuanzia JWTZ, TISS n.k kapachika watu. Kwahiyo kumalizana nae sio suala la kumkabili yeye mwenyewe individual kama unavyomtandika makofi mkeo
Tena amejichimbia hasa na mizizi yake ni mirefu. She is not a dunce as some people try to portray her. Kumtoa pale haitakuwa rahisi na damu nyingi zitamwagika. Angekuwa mtu mwingine MO 29 asingetoboa maana mboga mboga wangeamua ilikuwa kazi rahisi sana. She is adaptive, calculating and ruthless!

20251106_181154.png
 
Matakko yako,unapandikiza mbegu ya udini na faraka kwenye nchi!!?
Wewe ni fala, alafu nyie chawa ndio mmeifikisha hii nchi hapa.

Tunawaambia kuwa nchi yetu is on edge mkaza shingo, tunaowapa onyo tunaijua breaking point ya hii nchi.

Msishupaze shingo, week zilizobaki kuelekea desemba 9 kwa mara kwanza mtaona Raia wana mabomu, mkiendelea kushupaza shingo, ningekuwa nakaaa karibu na wewe ningekuwekea sumu kwa faida ya hii nchi
 
Tena amejichimbia hasa na mizizi yake ni mirefu. She is not a dunce as some people try to portray her. Kumtoa pale haitakuwa rahisi na damu nyingi zitamwagika. Angekuwa mtu mwingine MO 29 asingetoboa maana mboga mboga wangeamua ilikuwa kazi rahisi sana. She is adaptive, calculating and ruthless!

View attachment 3501201
duh
 
Nimesema hivyo coz sisi hata tukiandamana bado wao ndo watatakiwa kuchukua nchi na kutengeneza utaratibu. Kuhusu uzalendo pamoja na sisi raia wa kawaida kuwa wazalendo lakini wajeshi wana mafunzo maalum ya kuilinda nchi lakini pia viapo vyoa vina neno uzalendo ndani yake, wanapoenda kinyume na viapo vyoa inatuumiza sana na ndiyo hayo ya kuuawa na watu kutoka nje ya mipaka ya nchi yetuyanatokea. Lakini pia walidharauliwa sana na amiri jeshi mkuu wao.
Wajiandae wananchi na watachukua nchi kibabe kama m23 na hakuna jeshi litalotambulika WAACHE Waendelee kuwalinda hao wezi itawacost Hadi wao.subiri kagame awape wananchi silaha ndio akili zitawakaa
 
Tena amejichimbia hasa na mizizi yake ni mirefu. She is not a dunce as some people try to portray her. Kumtoa pale haitakuwa rahisi na damu nyingi zitamwagika. Angekuwa mtu mwingine MO 29 asingetoboa maana mboga mboga wangeamua ilikuwa kazi rahisi sana. She is adaptive, calculating and ruthless!

View attachment 3501201
!
Kalamu
 
Back
Top Bottom