Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 812
Father Kama report hii ipo huko meaning mnafanyaje sasa? Mnajua ninyi nanyi hamna msaada wowote kwenye hili Taifa. Mtu mmoja au kundi la watu wasiofika hata 20 liteteleshw nchi yenye zaidi ya watu m60?Ukweli TISS vijana kazi inafanyika Sana taarifa zinakusanywa za kutosha na kuchakatwa kwa kiwango kikubwa ila walaji wa taarifa ndio hawawezi kufanya maamuzi wapo wapo tu wapumbavu.
Hii report ya mtoa mada ipo mezani Ikulu toka mwaka 2011 lakini they saw it coming lakini wanashupaza shingo tu.
Nchi hii inahitaji haki tu hasira za Watanzania zimeanza mwaka 2010 baada ya uchaguzi na sababu kuu
Ni haki
Uwajibikaji
Ufisadi
Utekaji
Uhuru wa vyombo vya habari
Sasa hasira zote zitahitimishwa mwaka huu!!
Anachokisema mtoa mada ndicho kitakachotokea
Lilikuwa kosa kubwa sana Samia kuingiza watu kutoka Zanzibar,Uganda na Zimbabwe kuja kuua watanganyika.
Hii lazima alipe Samia na genge lake.
Ndio maana sikuwa mjeda