MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wakuu,
Imezuka na kukomaa tabia za washereheshaji kurekodi watu wanaofurahi kwenye sherehe walizokodiwa na kurusha kwenye page zao mitandaoni bila ruksa za wahusika.
Maharusi wanaweza kutoa kibali cha kurusha matukio yao lakini hakuna ruhusa ya kumrekodi mtu specifically na kumrusha mitandaoni. Hasa mnapenda kurekodi matukio ya kipekee kupata comments nyingi.
Unakuta mfano mbibi/mbabu wa watu amefurahi siku ya mjukuu wake anarekodiwa na kurushwa kwenye social media bila kibali chake huku akipata kejeli za kila aina!
Tahadhari, ipo siku inakuja mtaanza kushtakiwa kwa kurusha matukio ya watu bila ruksa zao. Mnafanya watu waogope kufurahi kwa uhuru kwa kuogopa camera zenu na siku inayofata kuzunguka mitandaoni.
Sheria hizi hizi zitatumika kuwaumiza msipokuwa makini na urushaji ovyo wa matukio ya harusi.
Msiseme hamkujua!