Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Unajua kwenye sherehe kuna watu wengi. Kwa hiyo kuna kuwa na mambo mengi. Watu wanajiachia kwa raha zao, wengine unakuta bia zimeshawachangamsha, hapo kuna wadada wanasaka madanga, pia unakuta wadada wengine wanatafuta wapenzi au hata mtu wa kumuomba namba. Hapo bado vituko vya wanaocheza na wanaoropoka wakipewa mic. Halafu bado unarekodiwa.Ndio hivyo mkuu ila hizi sherehe hizi watu wanaonekaga vituko aiseee sio kabisa kuna siku camera zitavunjwa ukumbini
😂
Inabidi pawe na privacy. Au pawe na private MC special kwa ajili ya private party. Na camera inakuwa 1 tu. Na hakuna kurekodi kwa simu.