Tahadhari kwa MC's wa maharusi bongo

Tahadhari kwa MC's wa maharusi bongo

Ndio hivyo mkuu ila hizi sherehe hizi watu wanaonekaga vituko aiseee sio kabisa kuna siku camera zitavunjwa ukumbini
😂
Unajua kwenye sherehe kuna watu wengi. Kwa hiyo kuna kuwa na mambo mengi. Watu wanajiachia kwa raha zao, wengine unakuta bia zimeshawachangamsha, hapo kuna wadada wanasaka madanga, pia unakuta wadada wengine wanatafuta wapenzi au hata mtu wa kumuomba namba. Hapo bado vituko vya wanaocheza na wanaoropoka wakipewa mic. Halafu bado unarekodiwa.

Inabidi pawe na privacy. Au pawe na private MC special kwa ajili ya private party. Na camera inakuwa 1 tu. Na hakuna kurekodi kwa simu.
 
Kweli mkuu privacy za watu muhimu, mfano mzuri club hua kuna camera ila mambo ya club na matukio ya club hua yanaishia kule kule hukuti watu wamerekodiwa ovyo wakiwa wamekunywa hadi wamezima au wanafanya vituko wakasambazwa nje ya eneo la tukio ovyo ovyo na kuonekana vituko bila ridhaa yao wenyewe ni kosa kumdhalilisha mtu
 
Tulikuwa kwenye tukio last week wadau wengi wanaogopa hata kwenda kucheza na maharusi kukwepa camera za hawa MCs zetu! Wanashindana kurusha matukio ili kupata comments na kuongeza umaarufu!
Ni tabu sana hata ukipewa maiki mtu unaogopa hata kuongea maana ulimi ukiteleza tu tayari utajikuta unatrend kesho yake. Inabidi watu wanaowapa kazi hawa ma mc wawe wakali, ni kuandikishana kabisa hakuna kurusha matukio mitandaoni. Kinachohappen ukumbini kibakie ukumbini. Kurusha watu mitandaoni hovyo hovyo ni ufirauni na hawa ma mc wanatakiwa wakomeshwe
 
Tulikuwa kwenye tukio last week wadau wengi wanaogopa hata kwenda kucheza na maharusi kukwepa camera za hawa MCs zetu! Wanashindana kurusha matukio ili kupata comments na kuongeza umaarufu!
Bora umelisema hili. Akina Haika Lawale... ukienda kwenye kumbi zao tegemea hili. Nachukia sana hawatambua utu na umuhimu wa faragha za watu
 
Bora umelisema hili. Akina Haika Lawale... ukienda kwenye kumbi zao tegemea hili. Nachukia sana hawatambua utu na umuhimu wa faragha za watu
Haika lawele mbezi garden ni jipu. Huyu dada kutwa kupost matukio ya watu wanaotumia kumbi zake
 
Wengine wanakwenda kwenye sherehe bila wake au mume zao kujua kwasababu zao binafsi na sio kazi ya watu wengine kufichua siri zao. Wakome kabisa
 
Back
Top Bottom