Tahadhari kwa mnao nunua line za uwakala wa tigo-pesa na m-pesa

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
602
Reaction score
152
Msije sema hamku tahadharishwa!

Kinachotokea ni hiki hapa: unanunua line iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine, nawe kuanza kuifanyia biashara. Nimesikia ( sina uhakika) kinachotokea ni kwamba una viziwa baada ya kuweka float tu ( let's say (TZS 2 M). Mwenye line anapewa taarifa na wafanyakazi wa TIGO au VODACOM wasio waaminifu. Jamaa anakwenda na documents zake kuonesha kwamba line yake imepotea au kuibiwa, so anaomba swapping ifanyike. Baada ya hapo anapewa line mpya na unajikuta yako haifanyi kazi.
Sijajua jinsi gani pesa yako inachukuliwa hasa ukizingatia ya kwamba password inakuwa imebadilishwa na mnunuzi. May be swapping inapofanyika mtu anapewa na default password.

Lakini swali la msingi: inapotokea swapping imefanyika, wewe mnunuzi wa line yenye usajili na jina la mtu unaanzia wapi ku - claim pesa yako? Huna IDs za ku- prove kwamba wewe ndiye mmiliki halali wa hiyo line?

Nunueni hizi line huku mkijua risks mnazobeba mabegani mwenu.

Asanteni sana.
 

It's a very risky deal kwa kweli..
 

Sasa kwa nini ununue line iliyosajiliwa na mtu mwingine?
 
Sasa kwa nini ununue line iliyosajiliwa na mtu mwingine?

wananunua line za watu wengine kutokana na urasimu wa makampuni ya simu kama vodacom na tigo,. ni ngumu sana kwa sasa kupata line ya mpesa au tigopesa na ukikuta mtu anakijiwe na anataka kufanya biashara hiyo inambidi anunue kwa wale waliokuwa nazo tangia zamani walioshiundwa biashara.
:A S soccer:
 

Hata mimi naona hili ni kweli maana mimi nimeuziwa na wakala mkuu nikapewa line iliyokuwa ya mtu na tangu July nimewahi kutumiwa sms moja tu juzi kwamba uje ujaze claim form ya commission yako. Nikatuma mtu akajaza kwa majina ya yule mtu aliyerudisha line na kisha baada ya siku 2 nikatumiwa kwenye line hiyo Tshs. 17,000/= tu
Sasa nikashangaa kwa nini tangu July sijawahi tumiwa sms yeyote kudai commission?
Nikawa na wasi wasi na kutumia majina ya mtu aliyekuwa anatumia hii line pengine anakwenda pale na kujaza details zake na anachukuwa
YAWEZEKANA NI KWELI TUWE MAKINI
 
Mkuu yaani hii biashara usipokuwa makini wawezapoteza pesa zako nyingi, au kujikuta unamfanyia mtu kazi. Huyo mtu kwanini akupe commission ya Tsh 17000 tu
 
mpesa balaa tupu, ila kwa mwenye kuhitaji line ya mpesa ani pm tunaweza badili hadi jina likawa lake. anyehitaji atani pm
 
It's a very risky deal kwa kweli..

hiyo Style ya wizi ukitakiwa kuibiwa haida kizuizi kwani hata Bank hutumika ivyo kutumi mfanyakazi wa Benk watu huwaibia wateja ktk A/C .zao sasa hiyo iko chin ya TIGO...AU..BANK husika mtandao wa Wizi hizo ni ..CHANG BARIDI....
 
anachozungumzia kina ukweli ,wengi wanapoingia kwenye hii biashara hawana uelewa wanfuata mkumbo tu,anayemsajilia namba hujaza data zote kwa niaba ya mteja wake ikiwamo neno la siri .hivyo unapopewa laini yako jamaa anakupa na data zote ikiwemo neno la siri na kupelekea neno la siri lisiwe siri kwa kuwa linajulikana kwa mtu zaidi ya mmoja hapa wizi hufanyika kwa njia hii agregator huyu ni wakala wa kukusajilia line yako .
 
#2
Anaeitaj laini ya wakala Tigopesa M-pesa Airtelmoney Halopesa Ezypesa nipigie kwa namba hii 0659202222 Pia Special number nauza ninazo nyingi 2 Mwaka Huu 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…