M-pesa
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 602
- 152
Msije sema hamku tahadharishwa!
Kinachotokea ni hiki hapa: unanunua line iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine, nawe kuanza kuifanyia biashara. Nimesikia ( sina uhakika) kinachotokea ni kwamba una viziwa baada ya kuweka float tu ( let's say (TZS 2 M). Mwenye line anapewa taarifa na wafanyakazi wa TIGO au VODACOM wasio waaminifu. Jamaa anakwenda na documents zake kuonesha kwamba line yake imepotea au kuibiwa, so anaomba swapping ifanyike. Baada ya hapo anapewa line mpya na unajikuta yako haifanyi kazi.
Sijajua jinsi gani pesa yako inachukuliwa hasa ukizingatia ya kwamba password inakuwa imebadilishwa na mnunuzi. May be swapping inapofanyika mtu anapewa na default password.
Lakini swali la msingi: inapotokea swapping imefanyika, wewe mnunuzi wa line yenye usajili na jina la mtu unaanzia wapi ku - claim pesa yako? Huna IDs za ku- prove kwamba wewe ndiye mmiliki halali wa hiyo line?
Nunueni hizi line huku mkijua risks mnazobeba mabegani mwenu.
Asanteni sana.