Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 331
- 416
Sina tatizo na siasa za nchi hii. Mimi kwangu ni sawa tu CCM wakiendelea kutawala hii nchi au CHADEMA wakapokea kijiti Sina Cha kupoteza. Ninachotaka ni maendeleo. Kwa mfano Mbeya watakuwa wendawazimu wakampa jimbo mtu mwingine yeyote wakamtema Tulia Akson Mwansasu bila kujali maendeleo makubwa yanayoendelea Mbeya chini ya uongozi wa Dr. Tulia. Yaani Tulia hata akigombea kupitia CHAUMA Mbeya atachaguliwa tu.
Nirudi kwenye hoja yangu, Mwamposa ni mtumishi wa Mungu, anaaminika Kwa upako wa Hali ya juu sana. Mimi siyo mfuasi wa Mwamposa lakini namkubali, namwamini namsikiliza, namwelewa na namfuatilia Kila siku katika mahubiri, mwenendo au maneno yake.
Sijaona tatizo la Mtumishi huyu kwamba anachanganya dini na siasa lakini kitendo Cha yeye kujichanganya na watu kama STEVE NYERERE kwenye mambo ya CCM, Uchawa, kupigia kampeni wanasiasa Mimi nakereka sana. Kwanza hao watu siyo level yake hata kidogo. Wanataka kutumia NYOTA ya Mwamposa na kuharibu utumishi wake. Hata mambo ya akina Makonda siyo level yake. Angalau level yake ni waziri Mkuu, makamu wa Rais, Rais panapokuwa maslahi ya Taifa Kwa ujumla.
Nje na kuhubiri injili Mwamposa ni mtu wa kawaida kanisa. Wanasiasa wanatumia mbinu yoyote Ili mradi wawe madarakani
Ningemshauri mtumishi afanye kazi ya injili.
2 Timotheo 4:5
[5]Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako.
But watch thou in all things, endure afflictions, do the work of an evangelist, make full proof of thy ministry.