Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Hao jamaa ni hatari zaidi ya GalaxyHawa wakwetu
HawatutishiHao jamaa ni hatari zaidi ya Galaxy
Yaani hao ni kama rivers united tu uwezo waoHao jamaa ni hatari zaidi ya Galaxy
Kuna mtz mwingine hapo juu kala 6Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0...
We jamaa hamnazo kabisa, yaani hata rangi ya Bendera yako huifahamu? Achilia mbali kujua kama kuna Timu ilikuwa/inaitwa Mundu miaka ya 2000sNawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0...
Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0...
Hao Ni wa kwenu kweli hakuna ubishi, lazima muolewe tu.Hawa wakwetu
Mechi lini mzeeMungu isaidie Red Arrow iwachape Makolo goli 10 bila ili akili zao za kimbumbumbu zikae sawa