Peacesmart
Senior Member
- Apr 19, 2017
- 113
- 101
Mtoto yeyote anatakiwa kufundishwa juu ya hatari ai madhara anaweza kutana nayo toka kwa strangers...na stranger anaweza kua ndugu wa karibu kabisa si lazima jirani rafiki au anybody else mtoto now mafunzo mapema awe na heshima kwa watu lakini awe vigilant na tabia zisizo sahihi zinapojitokeza..wengi ktk jamii kiafrika tunawafundisha Watoto kuwaogopa wakubwa na si kuwaheshimu kiasihata wakifanyiwa mabaya wanaogopa pia kusema Why? Kwa sababu wameshika neno kwamba mkubwa hasemwi ubaya...mtoa Mada you sawa ila nahisi ulilenga zaidi Maisha ya mamtoni so yes topic inafungua akili Sana, mfano ni Yule dogo alibaka mtoto wa dadake halafu akamnyonga mweh[emoji15]Tahadhari hii ni kwa single parents wa kike na wa kiume na si kwa single fathers tu au single mothers tu. Tuwe waangalifu na watu wanaotoa misaada kwa familia, wengi hutumia mapungufu kwa faida zao.
Yalimtokea shost akiwa kama career woman, alijikuta baby father hana mpango nae, aliamua kupambana na hali yake. Alipata mtoto wa kiume mzuri mwenye afya njema. Shost anaishi kwenye flats, amepambana tangu mtoto akiwa mdogo, mshahara wa dada, ada ya nursery, na vitu vingine.
Mlango unaotazamana na flat yake alihami mkaka akiwa single. Ile kukutanga kwenye corridor kila siku wanasalimiana mwisho mtoto amemzoea uncle. Ikawa anakwenda kuangalia mpira kwa uncle, mara birthday uncle amenunua zawadi, mtoto amefika miaka saba.
Uncle akawa anamcheka kabisa unakaa na wanawake utakuwa na akili za kike, ukizingatia nyumbani kwa shost ni yeye na house girl. Mtoto akawa anataka kukaa zaidi na uncle mwanaume mwenzake. Kumbe bwana uncle anaanza kumfundisha mtoto michezo mibaya, alianza kukaa bila nguo mbele ya mtoto na anamwambia usiogope. Mwisho akaaza kumwekea gay porn movies na akawa anamwambia na yeye amnyonye.
Ni Mungu tu, siku moja mtoto akamuuliza mama yake mama, kumbe ukiliamsha dude unatoa mziwa? Mama kushtuka umeona wapi? Baada ya kuulizwa sana mtoto anadai nimemuona uncle.
Ujirani uliishia hapo, mama aliripot police, ingawa jamaa alihonga sana kesi ilizimwa lakini hakuwa tena na ukaribu na mtoto yule.
Sent using Jamii Forums mobile app