Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Habari wananchi wenzangu...
Jumamosi hii ya tarehe Mbili December tuna game ya CAF champions League dhidi ya Mabingwa watetezi National Al ahly. Hii itakua game ya pili kwenye kundi letu.. ikumbukwe game ya Kwanza tulikandwa Goli tatu bila. Msifikiri kua hatukuumia, tuliumia Sana kilichozima maumivu ni pale kesho yake Simba alipobanwa na Asec mimosas pale Taifa vinginevyo kama Simba angeshinda hekaheka zingaanza ..
Sasa naomba mpunguze mbwembwe na muandae timu wenzetu Simba wamekaa Chini na tutatua changamoto zao Sisi tupo bize kuvaa misuli mbele ya waarabu... Aloo tukifungwa hiyo misuli itavuka...
Na ikitokea tukala kichapo na Simba wakashinda game Yao na makirikiri Kule Botiswana msidhani kutakua na Amani tena mitaa ya Jangwani mtajua hamjui...
Na tukifanya masikhara tutaishia makundi na Simba watasonga mbele maana nafasi ya wao kufuzu Kwa Sisi tunaoujua ball ni kubwa Sana. Simba walishawahi kumkalisha Galaxy huko kwao Bao 2 bila hivo sitashangaa wakishinda tena....
Mi nawapa tu onyo....
Kila la kheri Yanga Afrika