Tahadhari kwa wabunge wa CCM

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Leo mnaungana na anayeminya uhuru wa bunge kumkandamiza msema ukweli ila mkumbuke ipo siku huyo anayewatuma kufanya yote hayo atalidhalilisha kweli bunge na mtakosa la kumfanya na mkitaka kuitisha vikao vya kura ya kutokuwa na imani naye atalivunja bunge na kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wa chama atapitisha majina ya watu wake kwenye majimbo yote na nyie mnaomkingia kifua mtakosa la kufanya na mtateseka kuliko hata mashetani.

Ni mawazo yangu tu mkiona yanafaa yachukueni mkiona hayafai yatupeni kwani hata Mh Jakaya aliwahi kusema "akili za kuambiwa changanya na zako"

Mwisho Moderator naomba huu uzi usiunganishwe na thread yeyote coz this independent one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msema kweli na wakala wa shetani, anahitajika kupingwa kwa nguvu zote ndiyo mambo yanayoendelea sasa...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…