Tahadhari kwa Waislam waliofunga


Ili mada yako tuiamini itakubidi utuwekee link, otherwise ni porojo. kwa sababu hakuna uwezekano wa kimiminika kupita mdomoni, koromero, tumbo, utumbo, kwenye ini na damu vikiwa na hali joto ileile!
 
Alisema hivyo kutokana na mazingira yake zilikua nyingi na ndipo zilimwapo sanaa,sasa cha ajabu umkaririshe mtanzania eti afungulie tende ,tumia vinavyokuzunguka cha msingi zingatia afya ya mwili

mtume wetu ni khuswatul khasana na hasemi kama yeye muhammad s.w bali niujumbe wenyemazingatio kwetu toka kwa ALLAH SUBHANNA WATAALA so kma kungekuwa hkuna faida yakufuria tende kma kifunguzi naftari mana futari nihicho chakwanza kuliwa asingeliitaja hiyo tende madhali kaitaja basi kunafaida nawaulize wataalam watkwambia and then kwetu nisunnah kama waislam.We kma simwislam mambo ya ngoswe mwachie ngoswe yeye ndo katuambia tfunge na sisi tnamfata yy mjumbewa mw.mungu si akili zako za memkwa unaefikiria kutumia tumbo badala yaubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…