Tahadhari kwa wale wote waliopata vyuo....

TCU bado haijatoe official statement kwahiyo msishangae ukakuta umepangiwa chuo kingine au coarse nyingine...nimetoa hii tahadhari sababu watu hamkawii kusema tCU wanadanganya uma....ok!kila la heri katika kungojea official result from TCU

Unazngua iyo kitu haibadiliki aisee
 

ah ah ah dogo mimi nilishapitaga huko sema nina dogo wangu mwaka jana alipata mzumbe sasa yeye alipenda agroeconomics n agrobussiness ya Sua akalalamika sana ila baadae akapata sua bada ya TCU kutoa officially...usiwe mbishi kama shipa dogo...ila wapo watakaobaki hapo hapo hasa wenye matokeo mazuri
 

Sanaaaaaa
 
hahahahahaha thats why i like Jamiiforums nimecheka vibaya...............you have made my day.....!!!!!
 
nyinyi mtayaona tu sasa hivi mnaponda ila mtanikumbuka....... any fool can become a university student
 

Dah aisee kwahyo iyo agribusnes alioipata ilikua first choice yake..na mwanzoni selection yake aliipata kwa njia ipi
 
Dah aisee kwahyo iyo agribusnes alioipata ilikua first choice yake..na mwanzoni selection yake aliipata kwa njia ipi
yah..mkuu alitupiwa kitu cha baf mzumbe ambayo ilikuwa third choice ila baada ya kutangaza kwenye website yao....dogo akajikuta yupo agribusiness..na sasa anafurahia coarse nzuri na yenye uhakika wa ajira asilimia mia..
 
Af nyio wa2 ambao mmechaguliwa vyuo vibaya acheni kujipa moyo wabadilishe ili iweje!! Kama uko ualimu hautaki kauze genge huko

"kenge ww ebu vitaje hivo vyuo ambavyo ni vibaya!? Na je unahisi ualimu ni mbaya sana sio
 
majina yalikwishwa pelekwa vyuoni ndo maana baadhi ya vyuo vimeshatoa ya kwao kwa hiyo neno official notes kwa sasa halitaweza kubadilisha chochote.
 
mimi udom moja Bcom accounting hakuna changes hapa tunasubir tu official statement tuanze michakato ya kulipa tuition fee

Kwahiyo ww unaona bcom acc ya udom ambayo haitambuliki na NBAA ni ya ukweli co kweli any fool can become a university student
 
Jamani naangalia results kwny airtel inazngua nisaidieni wadau username s.816/0030/2009 passorwed ni happyg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…