Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
ahsanteeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha uongo ww c ulikuwa unalalamika ujaona tokeo lakoo! Humpat mtu hapaa
TCU bado haijatoe official statement kwahiyo msishangae ukakuta umepangiwa chuo kingine au coarse nyingine...nimetoa hii tahadhari sababu watu hamkawii kusema tCU wanadanganya uma....ok!kila la heri katika kungojea official result from TCU
Hata mwaka jana ilikuwa hivyo.Selection za UDSM zilivuja na zilikuwa zenyewe kabisa maana watu waliprove kuwa ni zile zile za mwanzo.Kuhusu kozi kubadilika hiyo haitawezekana labda kama wangeandika kama mwanzo"wait for the official approval".Wewe kama hujui,subiri tu hiyo official announcement japo najua inakuuma sana kuikosa siri nzito na tamu from TCU!
ah ah ah dogo mimi nilishapitaga huko sema nina dogo wangu mwaka jana alipata mzumbe sasa yeye alipenda agroeconomics n agrobussiness ya Sua akalalamika sana ila baadae akapata sua bada ya TCU kutoa officially...usiwe mbishi kama shipa dogo...ila wapo watakaobaki hapo hapo hasa wenye matokeo mazuri
...usiwe mbishi kama shipa dogo...
mi mpaka iwe officially toka tcu ndo naamini bado sijashawishika
mi mpaka iwe officially toka tcu ndo naamini bado sijashawishika
kaka kubali matokeo icho chuo ulichokiona ndicho chenyewe ata kama ki****vu
hahahahahaha thats why i like Jamiiforums nimecheka vibaya...............you have made my day.....!!!!!Hata mwaka jana ilikuwa hivyo.Selection za UDSM zilivuja na zilikuwa zenyewe kabisa maana watu waliprove kuwa ni zile zile za mwanzo.Kuhusu kozi kubadilika hiyo haitawezekana labda kama wangeandika kama mwanzo"wait for the official approval".Wewe kama hujui,subiri tu hiyo official announcement japo najua inakuuma sana kuikosa siri nzito na tamu from TCU!
ah ah ah dogo mimi nilishapitaga huko sema nina dogo wangu mwaka jana alipata mzumbe sasa yeye alipenda agroeconomics n agrobussiness ya Sua akalalamika sana ila baadae akapata sua bada ya TCU kutoa officially...usiwe mbishi kama shipa dogo...ila wapo watakaobaki hapo hapo hasa wenye matokeo mazuri
mi mbona nililetewa kozi ambayo sikuchagua ndo maana ht siamin bado
yah..mkuu alitupiwa kitu cha baf mzumbe ambayo ilikuwa third choice ila baada ya kutangaza kwenye website yao....dogo akajikuta yupo agribusiness..na sasa anafurahia coarse nzuri na yenye uhakika wa ajira asilimia mia..Dah aisee kwahyo iyo agribusnes alioipata ilikua first choice yake..na mwanzoni selection yake aliipata kwa njia ipi
Af nyio wa2 ambao mmechaguliwa vyuo vibaya acheni kujipa moyo wabadilishe ili iweje!! Kama uko ualimu hautaki kauze genge huko
"kenge ww ebu vitaje hivo vyuo ambavyo ni vibaya!? Na je unahisi ualimu ni mbaya sana sio
mimi udom moja Bcom accounting hakuna changes hapa tunasubir tu official statement tuanze michakato ya kulipa tuition fee