Jamani naangalia results kwny airtel inazngua nisaidieni wadau username s.816/0030/2009 passorwed ni happyg
ukichaguliwa sua aquaculture imekula kwako.
majina yalikwishwa pelekwa vyuoni ndo maana baadhi ya vyuo vimeshatoa ya kwao kwa hiyo neno official notes kwa sasa halitaweza kubadilisha chochote.
dada yangu amemaliza pale mwaka jana nae alisoma bcom acc sasa hivi anasoma CPA ya hapa Tanzania ameanza module E sasa sijui wewe unataka NBAA ipi ya Tz au Zimbabwe? Fanya utafiti usilopoke hovyo kama wewe ni msomi basi unatakiwa uyafanyie kazi haya ninayokwambia then unijulishe kama ninayo sema yapo ama hayapo. Lugha uliyotumia mwishoni pale sijaipenda acha dharauKwahiyo ww unaona bcom acc ya udom ambayo haitambuliki na NBAA ni ya ukweli co kweli any fool can become a university student