Tahadhari kwa wale wote waliopata vyuo....

Tahadhari kwa wale wote waliopata vyuo....

Jamani naangalia results kwny airtel inazngua nisaidieni wadau username s.816/0030/2009 passorwed ni happyg

Ndugu,kwa sasa huduma hiyo haitakuonesha ulikochaguliwa but watakuambia usubiri ofisi itangaze rasmi.Be patient my friend.
 
majina yalikwishwa pelekwa vyuoni ndo maana baadhi ya vyuo vimeshatoa ya kwao kwa hiyo neno official notes kwa sasa halitaweza kubadilisha chochote.

MWAKA jana ilikua kama hvo bt baada ya tcu kutoa vitu vili change kwa baadhi
 
dada yangu amemaliza pale mwaka jana nae alisoma bcom acc sasa hivi anasoma CPA ya hapa Tanzania ameanza module E sasa sijui wewe unataka NBAA ipi ya Tz au Zimbabwe? Fanya utafiti usilopoke hovyo kama wewe ni msomi basi unatakiwa uyafanyie kazi haya ninayokwambia then unijulishe kama ninayo sema yapo ama hayapo. Lugha uliyotumia mwishoni pale sijaipenda acha dharau
 
Kwahiyo ww unaona bcom acc ya udom ambayo haitambuliki na NBAA ni ya ukweli co kweli any fool can become a university student
dada yangu amemaliza pale mwaka jana nae alisoma bcom acc sasa hivi anasoma CPA ya hapa Tanzania ameanza module E sasa sijui wewe unataka NBAA ipi ya Tz au Zimbabwe? Fanya utafiti usilopoke hovyo kama wewe ni msomi basi unatakiwa uyafanyie kazi haya ninayokwambia then unijulishe kama ninayo sema yapo ama hayapo. Lugha uliyotumia mwishoni pale sijaipenda acha dharau
 
Hakuna badiliko lolote litakalotokea coz Majina yapo kwenye vyuo na pia ukilog in tcu inaonyesha kabisa chuo mtu alichopangiwa.
 
Back
Top Bottom